kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,862
- 3,098
- Thread starter
- #21
Hapo sawaJaribu kujitangaza online pia
Hapo sawaJaribu kujitangaza online pia
Nenda uswahilini, vijira na mikoba si ndio bidhaa za dada zetu hizo.Eneo nilipo zipo slow wapemba wengi
Haha kwani ni dhambi mkuu?Wanauza ganja
Social media marketing is everything, fungua pages za biashara/duka lako, follow watu wengi, post pictures za bidhaa zako (usipige pige tu, bali piga picha zenye ubora za kuvutia, then promote biashara yako hata for 2 month or more, utaona matokeo.Habari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine mnatumia kupata wateja
instagram ads, fb ads, twitter (X) ads, tiktok ads, just do promotions , promote your business sana utapata wateja hadi nanjilinjiSawa online Facebook na WhatsApp au kuna app zingine maana huko gharama siku 5 tu elfu 20
. Unamaanisha machinga, kama pale Mbagala zekheim au pale kigamboni mnatandika chini jioni ikifika mnatoa ??.huwa tunaweka kwenye vituo vya mabus boss tunategea wanaotoka kazini ila wanakuwa pagumu hatari
Hamna fremu mkuu tumekodi maeneo hayo. Unamaanisha machinga, kama pale Mbagala zekheim au pale kigamboni mnatandika chini jioni ikifika mnatoa ??.
. Sasa hayo siyo maduka ya fashions mkuu. Nyinyi ni wafanya biashara wadogo wadogo, bado hujafika kwenye maduka ya fashions. 🤝🤝
Mkuu njoo nikusaidie kupata wateja kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, Instagram, Mimi ni msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa nalipia matangazo kuwafikia watu wengi bajeti tunaweza weka hata elfu 30 kwa mwezi Alf uone matokeo .... napatikana dar es salaam, Mbezi... Simu: 0756704145Habari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine mnatumia kupata wateja
Habari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine mnatumia kupata wateja