Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
-
- #2,041
Ebu fafanua vizuri mkuu, kama sjaielewa vile idea yako ingawaje inaonekana nzuriNaona kuna wapenz wengi , nna plan ya kuanzisha wrestling promotion aisee sema ya kishkaji tu , tunajitrain kuhusu wrestling moves na namna ya kuvaa uhusika i mean character utakayochagua then kwa kuanza tunakuwa tunapromote kwenye youtube na sehemu tofauti, hapo mnaonaje wadau????
Hahh.. Mi ningeomba uwe refa, maana huyu jamaa mjanja janja sanaHii mechi itabidi iwe TRIPLE THREAT MATCH na Mimi niwepo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ..... Nakumbuka alivyocheat kwenye Wrestlemania 34Hahh.. Mi ningeomba uwe refa, maana huyu jamaa mjanja janja sana
Hata wewe unayeandika hapa utakuwa huna kazi za kufanyaNimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Marudio ya jana pia nimeakosa! Vp the shield waliwapa kichapo akina nani?Naona jinsi wale wavivu wa kuamka usiku kuangalia live monday night raw wanavyosubiri kwa hamu kuangalia marudio saa tatu usiku huu ili waone jinsi the shield walivyotembeza virungu leo!![emoji1][emoji1][emoji1]
Wacheza mieleka wote walikuja kuwashambulia the shield kama ilivyokuwa wiki iliyopita ila ghafla wakakutana na virungu vya moto na wakakimbia wote!!(The shield walikuja na rungu zao)[emoji1][emoji1][emoji1].....ila habari njema ni kwamba sasa hivi WWE kuna tag team ya Seth rollins na Dean Ambrose na wana mechi dhidi ya akina Drew Mcintyre na Dolph Ziggler siku ya hell in a cell!![emoji23][emoji23][emoji23]Marudio ya jana pia nimeakosa! Vp the shield waliwapa kichapo akina nani?
Kwa hiyo IC champion haitagombaniwa kwenye HICWacheza mieleka wote walikuja kuwashambulia the shield kama ilivyokuwa wiki iliyopita ila ghafla wakakutana na virungu vya moto na wakakimbia wote!!(The shield walikuja na rungu zao)[emoji1][emoji1][emoji1].....ila habari njema ni kwamba sasa hivi WWE kuna tag team ya Seth rollins na Dean Ambrose na wana mechi dhidi ya akina Drew Mcintyre na Dolph Ziggler siku ya hell in a cell!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi najiuliza sana hilo swali ila kaimu general manager(Baron corbin) kwenye monday night raw ametangaza mechi ya tag timu ya Seth rollins,Dean Ambrose vs Drew,Dolph Ziggler ila kwa jinsi Seth rollins alivyo fighting champion anaweza pia akadefend mkanda wake siku hiyohiyo!Kwa hiyo IC champion haitagombaniwa kwenye HIC
Hata united states championship haitokuwepo hell in a cell.... Namuonea huruma nakamura ana mkanda ila hana wa kupigana naeKwa hiyo IC champion haitagombaniwa kwenye HIC
Hapo WWE watakuwa wamezingua coz haiwezekan mikanda yote 3 wapiganaji wakatoka kwenye crew moja ya The ShieldHata mimi najiuliza sana hilo swali ila kaimu general manager(Baron corbin) kwenye monday night raw ametangaza mechi ya tag timu ya Seth rollins,Dean Ambrose vs Drew,Dolph Ziggler ila kwa jinsi Seth rollins alivyo fighting champion anaweza pia akadefend mkanda wake siku hiyohiyo!
Kwanini WWE wasingeweka match ya Triple threat baina ya Nakamura, Jeff Hardy na RKO wagombanie US championship tena kwenye steel cageHata united states championship haitokuwepo hell in a cell.... Namuonea huruma nakamura ana mkanda ila hana wa kupigana nae
Yaani hapo tu wananshangaza, maana summerslam nlidhani itakua hiyo triple threat instead ikawa Hardy vs Nakamura... Nkahope itakua hell in a cell ila tena ndo hivyo... Inakuaje una stat mkubwa kama Nakamura tena ana mkanda halafu unamuacha kwenye PPV!!!? haimake senseKwanini WWE wasingeweka match ya Triple threat baina ya Nakamura, Jeff Hardy na RKO wagombanie US championship tena kwenye steel cage
WWE wamebase kwenye bifu la Hardy na RKO ambapo kama wangemuongeza Nakamura mechi ingezidi kuwa taamYaani hapo tu wananshangaza, maana summerslam nlidhani itakua hiyo triple threat instead ikawa Hardy vs Nakamura... Nkahope itakua hell in a cell ila tena ndo hivyo... Inakuaje una stat mkubwa kama Nakamura tena ana mkanda halafu unamuacha kwenye PPV!!!? haimake sense
Tatizo Hardy na RKO tushaona bifu lao mwaka 2009 kwa WWE championship... Ni nafuu kama unavyosema kupata kitu kipya kwa kumuongeza Nakamura, ila tatizo management ya WWE inaonekana hawa muelewi Nakamura....WWE wamebase kwenye bifu la Hardy na RKO ambapo kama wangemuongeza Nakamura mechi ingezidi kuwa taam
Mtu aliyekuwa anataka huo mkanda ni doph Ziegler, kwa kuwa na yeye ana match ya tag team championship, kuna mawili.Hata mimi najiuliza sana hilo swali ila kaimu general manager(Baron corbin) kwenye monday night raw ametangaza mechi ya tag timu ya Seth rollins,Dean Ambrose vs Drew,Dolph Ziggler ila kwa jinsi Seth rollins alivyo fighting champion anaweza pia akadefend mkanda wake siku hiyohiyo!
Naona bora iwe tag team mm noungane na the shield mwenzangu behavioristHii mechi itabidi iwe TRIPLE THREAT MATCH na Mimi niwepo
Sasa si wana wanakichafua na kushinda kweli. Wengine wanakua wazembeHapo WWE watakuwa wamezingua coz haiwezekan mikanda yote 3 wapiganaji wakatoka kwenye crew moja ya The Shield