Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Naona kuna wapenz wengi , nna plan ya kuanzisha wrestling promotion aisee sema ya kishkaji tu , tunajitrain kuhusu wrestling moves na namna ya kuvaa uhusika i mean character utakayochagua then kwa kuanza tunakuwa tunapromote kwenye youtube na sehemu tofauti, hapo mnaonaje wadau????
 
Back
Top Bottom