Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Usiwe na stress na hasira ukaingia JF.Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app