Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na stress na hasira ukaingia JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Welcome to the world, calm down, just relax, Mbona una Hasira hivyo, kumbuka maigizo nayo ni michezo.

Karibu mgeni kwenye jukwaa letu....Wadau wapo wanakusalimia.....Tatizo umekuja kwa speed sana...Just calm down tuyajenge

Siku hizi nimejikuta naangalia mieleka baada ya kulazimishwa na watoto Hahahaha unataka kuungalia kipindi cha wanyama ghafla mwenye remote anaweka mieleka balsa. Nimeanza kumpenda AJ Style baada ya kumpiga Nakamura Hahahaha Asuka na mdada mwingine Rando daaah

Duh , kweli umelazimishwa.....sio Rando, ni Ronda ......Umenikumbusha Random selection Kwenye hesabu za statistics

Huyo haswa alinifurahisha alipotembeza kichapo hadi kufungiwa. Juzi nikaona kachukua mkanda kwa yule mwenzangu na mie Bliss kama sijachemka jina. Ukishakuwa na vijana labda uongeze TV aise utalazimishwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mzee baba miaka inakwenda mbele hairud nyuma...mbona mwanao hujampeleka shule uliyosoma wew umempeleka shule za kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom