Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kwa sasa hamna jamaa ambae simkubali kama monster among men, jamaa lina masifa sana, ukiskiliza kwa makini huwa anazomewa sana. Natamani sana atembezewe kichapo kwenye HIC na big dog Roman.
Natamani kuona pia seth na ambrose wakiwanyoosha kina ziggler na kubeba tag team championship. Jamaa walivyowafanyia revival wakati wanajiandaa kupambana na b team haikua fair
 
Wadau naomba kuuliza hivi hizi game wanazozitangaza kua zitaoneshwa kwenye PPV (pay per view) mf. ya the game HHH na undertaker na hizi za hell in a cell zinazofuata tutaziona kupitia dstv kama kawaida?
 
Kwenye HIC Strowman atachukua Universal champion labda kina Ambrose na Seth waingilie
 
Naona bora iwe tag team mm noungane na the shield mwenzangu behaviorist
Hahha.....Basi itabidi Tuandae mkanda wa kushindaniwa, alafu mechi itafanyikia beach kwenye mchanga.....Alafu tutunge kanuni za mchezo kwanza nsije nikampiga mtu Rest in Peace nikaja pewa kesi bureeee
 
Plan yao WWE ni simple!....wanataka atakaeshinda kati ya Jeffy Hardy au Randy Orton aanze kukimbizana na Nakamura mwanzo mwisho!
 
Wale wanaotarajia kulala saa kumi na mbili jioni leo kama mimi ili waamke saa saba ya usiku waangalie hell in the cell mubashara kwa rahaa bila kusinzia sinzia gonga like hapa ili tujuane![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Naomba kujua, hivi mieleka wanapigana kweli au maigizo, naona Kuna Muda mtu anapigwa Katika ngazi, au meza Alafu apasuki ni kweli Ile jamani
 
Naomba kujua, hivi mieleka wanapigana kweli au maigizo, naona Kuna Muda mtu anapigwa Katika ngazi, au meza Alafu apasuki ni kweli Ile jamani
Ni kweli hupigana ndiyo maana kila mwaka kuna wachezaji kibao wa mieleka huwa wanaumia na wanaenda likizo ndefu kutibiwa majereha mfano Dean Ambrose, Jason jordan,Sami Zayn e.t.c.....hata Daniel Bryan kuna kipindi aliumia akatangaza kustaafu ila baada ya kupona alirudi tena
 
Kwa sababu show yenyewe inaanza saa nane umeme utakuwa umesharudi mkuu!!.....Mimi nimefunga kabisa back up sitaki interruption ya kukatika umeme mie!
Haha. Kazi kweli kweli. Hamna namna usiporudi marudio si yapo?

Nisipoangalia maana yake sitasoma huu uzi nisijue kilitokea nn ili ni enjoy marudio
 
Mechi ya kijinga kabisa leo ni ile ya Ronda rousey na Alexa Bliss yaani ni sawa na mechi kati ya Tembo na swala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…