Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kuna dalili za aj styles kupoteza leo na charlotte pia atapoteza kwa sexy becky
 
ila kweli na kitakachompa advantage Alexa Bliss ni ule ujanja ujanja wake mwingi na akili mingi ambazo huwa anatumia!
Yeah. Weww huoni Alexa hajui kupiga but ni champion mara nne cjui tano.

Alafu naona Asuka aje Raw ili aka mchallenge ronda
 
Alexa kushinda ni ngumu cz kuna ppv ya evolution inakuja na wanahitaji iwe na mvuto na ronda is the market kwa sasa
Ronda hata simuelewi mimi.

Hivi Nia Jax yupo wapi?

Maana hakupata hata rematch
 
Hapa umeniacha mkuu
Mkuu mfumo wa UPS ni mfumo wa kutumia battery kama za magari ila ambazo ni powerful ambapo wakati kuna umeme battery hizo hujichaji na umeme ukikatika battery hizo huendelea kutoa umeme bila umeme kukatika,yaani hutajua hata kama kuna muda umeme ulikatika(uninterrupted power supply)
 
Dah Nitafuatilia hapa hapa tu..
cna access ya kuangalia
 
Bei yake million ngapi mkuu
 
Jeff hard kazingua angemlegeza sana ndio aruke sasa ndo nn kutoa ushind wa mezan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…