Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Aa wapi. Alexa atampush ronda to her limits na huenda akashindaMechi ya kijinga kabisa leo ni ile ya Ronda rousey na Alexa Bliss yaani ni sawa na mechi kati ya Tembo na swala!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aa wapi. Alexa atampush ronda to her limits na huenda akashindaMechi ya kijinga kabisa leo ni ile ya Ronda rousey na Alexa Bliss yaani ni sawa na mechi kati ya Tembo na swala!
Nina wasiwasi hawa watamsaidia Roman ReignsMechi tamu kwa leo![emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 868516
Hapa umeniacha mkuuHapana,natumia UPS mkuu( uninterruptible power supply)
ila kweli na kitakachompa advantage Alexa Bliss ni ule ujanja ujanja wake mwingi na akili mingi ambazo huwa anatumia!Aa wapi. Alexa atampush ronda to her limits na huenda akashinda
Alexa kushinda ni ngumu cz kuna ppv ya evolution inakuja na wanahitaji iwe na mvuto na ronda is the market kwa sasaAa wapi. Alexa atampush ronda to her limits na huenda akashinda
Yeah. Weww huoni Alexa hajui kupiga but ni champion mara nne cjui tano.ila kweli na kitakachompa advantage Alexa Bliss ni ule ujanja ujanja wake mwingi na akili mingi ambazo huwa anatumia!
Ronda hata simuelewi mimi.Alexa kushinda ni ngumu cz kuna ppv ya evolution inakuja na wanahitaji iwe na mvuto na ronda is the market kwa sasa
Mkuu mfumo wa UPS ni mfumo wa kutumia battery kama za magari ila ambazo ni powerful ambapo wakati kuna umeme battery hizo hujichaji na umeme ukikatika battery hizo huendelea kutoa umeme bila umeme kukatika,yaani hutajua hata kama kuna muda umeme ulikatika(uninterrupted power supply)Hapa umeniacha mkuu
Bei yake million ngapi mkuuMkuu mfumo wa UPS ni mfumo wa kutumia battery kama za magari ila ambazo ni powerful ambapo wakati kuna umeme battery hizo hujichaji na umeme ukikatika battery hizo huendelea kutoa umeme bila umeme kukatika,yaani hutajua hata kama kuna muda umeme ulikatika(uninterrupted power supply)
Siyo gali sana mkuu kwa sababu machine yenyewe ya UPS ni laki nne na unatakiwa kununua battery mbili kubwa ambapo kila moja ni laki tatu!Bei yake million ngapi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Jeff Hardy and Randy Orton to start the show
Pamoja na ufundi km 1.5m inafika?Siyo gali sana mkuu kwa sababu machine yenyewe ya UPS ni laki nne na unatakiwa kununua battery mbili kubwa ambapo kila moja ni laki tatu!