Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Wanataka wawauze kwanza na kudaka attention ya watu km walivyofanya kwa B TeamHivi kwa nini AOP huwa hawapigani na watu wa maana??....Huwa wanapigana na vijitu vidogo vidogo tu!
Nahisi kuna sababu maalum, kama unakumbuka yale mazee ya the bludgeon brothers nayo yalikuwa yanapewa match na vitoto tu hadi yalipoamua kuingilia pambano la the new day na the usos ndo yakapata championship matchHivi kwa nini AOP huwa hawapigani na watu wa maana??....Huwa wanapigana na vijitu vidogo vidogo tu!
Lol pole sana unaangalia match ambazo wengine tushashau[emoji2] [emoji2] [emoji23] kaka sikuwezi aiseehh!!ngoja nikihama hapa uswazi ntannua supa sport yaani kwa sasa nikifunga dish mbili ntaibiwa maana nnavoibiwa hapa acha tu!
Leo mmeona after burn miz na truth sijui nani kashinda...nasubiri hell in a cell!!
Triple H na Undertaker the big match!!!!
Ipoje hii? Naipataje?Hapana,natumia UPS mkuu( uninterruptible power supply)
Kama Una DSTV nenda supersport 9 channel namba 209!! muda kuanzia saa tatu kamili usiku mpaka saa sita usiku ndo inaisha wanaonesha live pia!!Hiyo ni kuanzia J3 ni burudani kwa kweliMnangalia kupitia channel, king'amuzi, siku na mda gani wakuu!
Ila Revival wapi vizuri ilibaki kidogo wachukue Raw Tag team championshipYale mabaunsa ya AOP yamekula kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Shield!
MahabaKile kichapo walichopata akina Baron Corbin na team yake ya AOP kutoka kwa shield pale mwishoni mwa mechi yao ya tag team kwenye raw ya jana siyo cha nchi hii!.....baada ya mechi nimekimbilia kuangalia marudio youtube mara kumi kumi ila hata hamu ya kuangalia haiishi!
Nenda utube uulize ulichaondika hapa utapata majibu murua kabisaNiulize tuu wakuu..
Hivi hii mieleka ni real ama kuna acting na faked stage?
Asante mkuu.Nenda utube uulize ulichaondika hapa utapata majibu murua kabisa
Kama ingekuwa ni fake na staged kusingekuwa na wachezaji mieleka wanaoumia kila mwaka!.....Kuna wachezaji kibao wapo kwenye matibabu sasa hivi kutokana na kuumia kama vile akina Jason Jordan,Sami Zayn e.t.c hata akina Ambrose na wengineo wamerejea tu juzi juzi kutoka kwenye matibabu ya mwaka mzima!Niulize tuu wakuu..
Hivi hii mieleka ni real ama kuna acting na faked stage?
Asante mkuuKama ingekuwa ni fake na staged kusingekuwa na wachezaji mieleka wanaoumia kila mwaka!.....Kuna wachezaji kibao wapo kwenye matibabu sasa hivi kama vile akina Jason Jordan,Sami Zayn e.t.c hata akina Ambrose na wengineo wamerejea tu juzi juzi kutoka kwenye matibabu ya mwaka mzima!
Wasalimie makapuku forum mkuu!Asante mkuu
Nimeufuatilia huu mchezo since 99 ila nikagundua matukio mengi ni planned (kumbuka Cena alivyovunjika shingo na leo ypo Timamu kbisa) so sometimes watu huenda break kwa dharula za matibabu.Kama ingekuwa ni fake na staged kusingekuwa na wachezaji mieleka wanaoumia kila mwaka!.....Kuna wachezaji kibao wapo kwenye matibabu sasa hivi kutokana na kuumia kama vile akina Jason Jordan,Sami Zayn e.t.c hata akina Ambrose na wengineo wamerejea tu juzi juzi kutoka kwenye matibabu ya mwaka mzima!
Hapana,siyo fake ila jinsi ya kupigana mieleka kuna sheria, taratibu na kanuni zake tofauti na kupigana boxing au kick boxing kwa mfano ngumi haziruhusiwi,kuna jinsi ya kupiga mateke,kuna jinsi ya kumrukia mtu kutoka juu,kuna jinsi ya kumpiga mtu kipepsi e.t.c mapigo yote lazima yawe yale yasiyoua wala kusababisha ukilema hata zile spear za Roman reign haruhusiwi kupiga spear kwa kutumia kichwa!!Nimeufuatilia huu mchezo since 99 ila nikagundua matukio mengi ni planned (kumbuka Cena alivyovunjika shingo na leo ypo Timamu kbisa) so sometimes watu huenda break kwa dharula za matibabu.
Angalia ndondi za akina Tyson watu huvunjana hadi meno kwa ngumi tu,macho huvimba na midomo kupsuka.ila ni nadra sana kuona wanamieleka wakitoka wakiwa wamevinba uso ama kuvuja damu wakati wamepigana hadi huruma.
Baadhi ya matukio hulazimu iwe kweli ila baadhi huwa fake kabisa. Tizama Cena anapopigwa
Zimefika mkuu.Wasalimie makapuku forum mkuu!
Oooh basi sawa nimeelewa so huwa trained kabla hawajajipiga vile viti?Hapana,siyo fake ila jinsi ya kupigana mieleka kuna sheria na taratibu na kanuni zake kwa mfano ngumi haziruhusiwi,kuna jinsi ya kupiga mateke,kuna jinsi ya kumrukia mtu kutoka juu,kuna jinsi ya kumpiga mtu kipepsi e.t.c!
Huwa wanaenda mafunzo ya kujifunza mapigo yasiyo ua na yasiyosababisha ukilema!....Kwa mfano zile spear za Roman reign haruhusiwi kupiga spear kwa kutumia kichwa!!....Mchunguze vizuri Roman reign anavyopiga spear utagundua kuwa hatumii kichwa bali anatumia bega au mkono kwa sababu akitumia kichwa atavunja mtu mbavu au internal organ na hatimae ataua!!Oooh basi sawa nimeelewa so huwa trained kabla hawajajipiga vile viti?
Na vipi kupanga Matokeo