Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Universal championship*****....Ni [emoji91]
Kauteteaaa[emoji122] [emoji122] [emoji122]Brock lesner.....
Brock Lesnar ni machine...... Kazibua wote.... Hakuna cha Kane hakuna cha stromen...... He still Universal ChampionLeo patawakà stroman,Brock lesner,kane
Ndiyo siku ya kwanza anatokea nxt kuja rawHivi Kevin Ownes kashawahi kumpiga Cena???? Naona wenye iyo video anamuoshea
Hiyo ilikua poa kipindi cha kina jbl,boby rashley,rvd,big dad v,umaga,chris benoit,eddie guerelo etchii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Hako kajamaa kalikuaga amizing sana kalikuaga kanaact kanajilegeza mpinzani anajua shoo inakaribia kuisha kumbe wapiYale mateke ya Shawn Michael hayakuwa ya dunia hii!!....hadi nilikuwa nayaota usiku!!
Maludio siku gani mkuu kwa mchanaKama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyesha
E tv siku gani na saa ngapiStartimes wanaonesha E-TV ila sio live
Hicho kingamuzi kinauzwa bei ganiDSTV ndo baba lao,wana special channel kwa ajili ya mieleka tu(wwe) inayoitwa WWE,24 hours ni wrestling!![emoji116]