Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

23dc93354e415a4626ac1b988236594e.jpg
 
Roman Resign anatia aibu....yaan Mara mbili anapigwa na Mitz!!!!!!
 
Nimeipenda sana mechi ya Sasha na Asuka..... Hivi kweli hakuna wa kumpiga Asuka
 
hii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Hiyo ilikua poa kipindi cha kina jbl,boby rashley,rvd,big dad v,umaga,chris benoit,eddie guerelo etc
 
Kama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyesha
Maludio siku gani mkuu kwa mchana
 
Kunatofaut gan kat ya TXT WWE.. SMACKDOWN... ECW.. TNX.....?
 
Back
Top Bottom