Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Chief hapa napingana na wewe kidogo....

Matukio fake yapo mengi sana..

Kwa mfano;

SUICIDE DIVE.. Mara nyingi hii style anayeruka ni lazima adakwe na ni marufuku kumkwepa

REST IN PEACE BY UNDERTAKER..
Hii style inaonyesha kuwa Undertaker anabana kichwa cha mtu then anakibamiza chini but uhalisia ni kuwa kile kichwa huwa hakifiki chini..

Fake Scene zipo nyingi sana mkuu
 
Sawa na ile spear kakopi ya Goldberg mnyama na ile ya Randy Orton vipi mana huwa naiona kama hatar hivi
 
Kwa kifupi kabisa hayo yote siyo fake bali wanachofanya ni kupiga mapigo yasiyoua wala kusababisha ukilema!....Wacheza mieleka wote huwa wanaenda mafunzo ya kujifunza mapigo yasiyoua wala kusababisha ukilema kwa sababu ule ni mchezo na siyo vita ya kuuana!
 
Sawa kabisa ile ya Terker huwa nairudia mara nyingi sana na jibu huwa lile lile ya kuwa kichwa hakifiki chini
 
Sawa na ile spear kakopi ya Goldberg mnyama na ile ya Randy Orton vipi mana huwa naiona kama hatar hivi
Yote hayo katika taaluma ya utabibu ni mapigo yasiyoua wala kusababisha ukilema,hata wewe ukipigwa RKO ya Randy Orton kwenye ile ring yao baada ya muda utanyanyuka na utakuwa sawa kama kawaida,ila ile RKO au DDT ya Dean Ambrose au ile finishing ya Seth Rollins ukipigwa sehemu ngumu kama kwenye barabara ya lami au kwenye sakafu unakufa hapohapo!
 
Carmella ameanza kuwa mzuri wa altitude,character,moral na sura baada ya kupata partner![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Walichanganyiwa habari na the shield hadi wakasahau walipo
 
Ivi ni rest in peace au ni tombstone
 
The shield kama watazingua muda si mrefu hizi kauli za dean sizielewielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…