Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Nimeikuta mahali jamaa anachambua hii game ya kina Miz @Behaviorist
 
Kuna watu wazuri tu wanapiga vizur kama hawa waliocheza hii game ya cruiserweight championship hawaletwi Raw na SmackDown. Alafu unaleta watu wazembe wazembe kama Kelvin Owens, Sami Zayin, Elias nk
 
The shield made my day again![emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]....baba mtakatifu atapata taabu sana!
 
Ipo confirmed yule Bella twin mmoja atapigana na Ronda Kwenye evolution... Championship match.
Tupo mzee wa marudio!!!....Kesho ni monday night raw kama kawaida wakati tunasubiria matukio makubwa ya mwisho wa mwaka kama vile Evolution, Crown Jewel, Survivor Series na TLC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…