Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mtanange umeanza!..…..Wameanza the bar vs New day!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New day walichowafanya the bar, hawatakaa wasahauMtanange umeanza!..…..Wameanza the bar vs New day!
New day ni tag team kali sana ndiyo maana waliweza kuwatoa bludgeon brothers kwenye ramani ya tag team!New day walichowafanya the bar, hawatakaa wasahau
Mi sijaelewa kinacjoendelea kati ya triple H na undertaker
Haikuwa mechi hiyo,wale wazee wameshazeeka!Triple H have just won
Yes kumbe umeona kama mimi,watulie tu wazee wamechoka sana saivi kama Taker yupo hoi sana kuliko hata H.Haikuwa mechi hiyo,wale wazee wameshazeeka!
Dizain aj ana kibarua kwa Dan bryanAJ style ni balaa... sikutegemea kama angeweza kutoa COQUINA CLUTCH zote 3 alizopigwa na JOE
Alishazifanyia mazoezi mkuu!AJ style ni balaa... sikutegemea kama angeweza kutoa COQUINA CLUTCH zote 3 alizopigwa na JOE
wanahema kinomaHaikuwa mechi hiyo,wale wazee wameshazeeka!
Tupo mzee wa marudio!!!....Kesho ni monday night raw kama kawaida wakati tunasubiria matukio makubwa ya mwisho wa mwaka kama vile Evolution, Crown Jewel, Survivor Series na TLC!Wadau mpo
Tupo mzee wa marudio!!!....Kesho ni monday night raw kama kawaida wakati tunasubiria matukio makubwa ya mwisho wa mwaka kama vile Evolution, Crown Jewel, Survivor Series na TLC!