Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Even Baba Mtakatifu loves the big dog!Even me, myself and I , we all love the Big Dog
Hapa umeandika ukiwa na mahaba mazito.huwez fananisha ata kufikiria kulinganisha umaarufu wa cena au the rock(watake radhi kabisa)Ugonjwa na ushabiki vitu viwili tofauti...
Yule ndo Big Dawg bana wote wanamjua,haogopagi mtu yule jamaa
Pole yake tu Leukemia inamzingua na si ajabu asirudi tena...
Brown stro anasema "he'ill bit leukaemia's ass"
Tumwombee arudi tena yule jamaa,alikuwa Kipenzi ya kila mtu aisee..
Anaumaarufu kuliko hata Cena japo alipendwa kama The Rock...
Roman ataishinda kansa in God we trust
Yap! Ni kweli Mkuu. Alitangaza mwenyewe. Ukumbi ulizizima wa huzuni.Nimesikia Roman ameachia mkanda wake akatibie leukemia, kwamba amekuwa akiugua ugonjwa huo kwa zaidi ya miaka 11 sasa. Hizi habari zina ukweli wowote?
Ambrose alinikera kinoma vile alivyomgeuka Seth RollinsBack to game za leo usiku, Roman ame rudisha universally Champion sasa ubabe ni Brock Lesnar na Brown strowman, Danny Ambrose kamsiliti Seith ila inaonekana kuna kisasi kibaya mwenye kumbumbuku aweke hapa au ni kipindi kile Seith alivyo wasiliti pia au?
Asingeweza kumkimbia wakati aliuchukua kwa Lesnar, alimpiga kisawasawaRoman reigns kamkimbia Lesnar kaacha mkanda.....Hiyo ni moja title za gazeti za udaku za marekani
Kimsingi, John cena is leading kwa kuwa fansHapa umeandika ukiwa na mahaba mazito.huwez fananisha ata kufikiria kulinganisha umaarufu wa cena au the rock(watake radhi kabisa)
Nimeandika kwa kuwa najua nilichoandika kaka,Hapa umeandika ukiwa na mahaba mazito.huwez fananisha ata kufikiria kulinganisha umaarufu wa cena au the rock(watake radhi kabisa)
Sasa Batista ndo nini amefanya hapoView attachment 878263
Nimeandika kwa kuwa najua nilichoandika kaka,
Wakati Cena anashangiliwa miaka ya 2011 huko Roman alikuwa anazomewa kila kukicha lakini sasa ndie mtu wa tatu kwa kulipwa mshahara mkubwa WWE lakini pia ili umamini kuwa anamzidi kwa wingi wa mashabiki Roman ameivunja rekodi ya mauzo ya tiketi ya JOHN Cena na hakuna anaeuza na alieuza kumliko so kama si kansa basi mwakani angekuwa ndie anaelipwa zaidi kuliko John so najua nilichoandika ila wewe ndie unaongozwa na mahaba
Naona hujui hata unaongelea niniWw umeongelea mshahara mimi naongelea umaarufu.umaarufu wa cena na the rock huwez ufananisha na roman reigns
Mtu pekee aliebaki kuwa maarufu wakati wote ni undertaker since 1993 hadi sasa ila kuanzia kizazi cha kina Rock 1998 na rekodi zake zikavunjwa na Cena na rekodi za Cena na wote zimevunjwa na Roman na umaarufu wake inamaana upo juu kuliko hao jamaa japo kila mmoja aliwika kwa wakati wake ila bado Roman anafanbase kubwa sana sema anaenda kukaa nje ya ulingo kwa muda usiojulikana ila trust me jamaa alikuwa anaenda kujizolea umaarufu zaidi ya umri wake....Ww umeongelea mshahara mimi naongelea umaarufu.umaarufu wa cena na the rock huwez ufananisha na roman reigns
Mkanda wa WWE championship uko raw siku hz?Mkanda wa wwe unarudi kwa mwenyewe the beast burooooooooook lesna....
Currently big dog ndie alikua ndie image ya WWE.....achana na asiejua huyo mtu wa mahabaNimeandika kwa kuwa najua nilichoandika kaka,
Wakati Cena anashangiliwa miaka ya 2011 huko Roman alikuwa anazomewa kila kukicha lakini sasa ndie mtu wa tatu kwa kulipwa mshahara mkubwa WWE lakini pia ili umamini kuwa anamzidi kwa wingi wa mashabiki Roman ameivunja rekodi ya mauzo ya tiketi ya JOHN Cena na hakuna anaeuza na alieuza kumliko so kama si kansa basi mwakani angekuwa ndie anaelipwa zaidi kuliko John so najua nilichoandika ila wewe ndie unaongozwa na mahaba
Buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuiu!!!Currently big dog ndie alikua ndie image ya WWE.....achana na asiejua huyo mtu wa mahaba
hii miereka sometimes km uongoSasa Batista ndo nini amefanya hapoView attachment 878263
Nitaiangalia hamnq namnaHii show itakuwa live leo kuanzia saa nane ya usiku supersport 8!View attachment 914076
bado yupo na mdogo wake Kane vs DX itakuwa bonge la mechiIla undertaker bado yupo.