Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mkanda wa wwe unarudi kwa mwenyewe the beast burooooooooook lesna....
 
Ugonjwa na ushabiki vitu viwili tofauti...

Yule ndo Big Dawg bana wote wanamjua,haogopagi mtu yule jamaa
Pole yake tu Leukemia inamzingua na si ajabu asirudi tena...

Brown stro anasema "he'ill bit leukaemia's ass"

Tumwombee arudi tena yule jamaa,alikuwa Kipenzi ya kila mtu aisee..

Anaumaarufu kuliko hata Cena japo alipendwa kama The Rock...

Roman ataishinda kansa in God we trust
Hapa umeandika ukiwa na mahaba mazito.huwez fananisha ata kufikiria kulinganisha umaarufu wa cena au the rock(watake radhi kabisa)
 
Nimesikia Roman ameachia mkanda wake akatibie leukemia, kwamba amekuwa akiugua ugonjwa huo kwa zaidi ya miaka 11 sasa. Hizi habari zina ukweli wowote?
Yap! Ni kweli Mkuu. Alitangaza mwenyewe. Ukumbi ulizizima wa huzuni.
 
Back to game za leo usiku, Roman ame rudisha universally Champion sasa ubabe ni Brock Lesnar na Brown strowman, Danny Ambrose kamsiliti Seith ila inaonekana kuna kisasi kibaya mwenye kumbumbuku aweke hapa au ni kipindi kile Seith alivyo wasiliti pia au?
Ambrose alinikera kinoma vile alivyomgeuka Seth Rollins
 
Hapa umeandika ukiwa na mahaba mazito.huwez fananisha ata kufikiria kulinganisha umaarufu wa cena au the rock(watake radhi kabisa)
Kimsingi, John cena is leading kwa kuwa fans
 
Hapa umeandika ukiwa na mahaba mazito.huwez fananisha ata kufikiria kulinganisha umaarufu wa cena au the rock(watake radhi kabisa)
Nimeandika kwa kuwa najua nilichoandika kaka,
Wakati Cena anashangiliwa miaka ya 2011 huko Roman alikuwa anazomewa kila kukicha lakini sasa ndie mtu wa tatu kwa kulipwa mshahara mkubwa WWE lakini pia ili umamini kuwa anamzidi kwa wingi wa mashabiki Roman ameivunja rekodi ya mauzo ya tiketi ya JOHN Cena na hakuna anaeuza na alieuza kumliko so kama si kansa basi mwakani angekuwa ndie anaelipwa zaidi kuliko John so najua nilichoandika ila wewe ndie unaongozwa na mahaba
 
Ww umeongelea mshahara mimi naongelea umaarufu.umaarufu wa cena na the rock huwez ufananisha na roman reigns

Naona hujui hata unaongelea nini

Nimesema mshahara+umaarufu wewe unakimbilia kusema moja kati ya mengi nilioandika

Afu tambua bila umaarufu huwezi kulipwa vizuri wala huwezi vunja rekodi za maarufu wengine sasa sijui umaarufu upi unaoongelea wewe

Behaviourist tusaidie hapa mana naona kuna mtu hajui umaarufu ni nini na una impact gani...
 
Ww umeongelea mshahara mimi naongelea umaarufu.umaarufu wa cena na the rock huwez ufananisha na roman reigns
Mtu pekee aliebaki kuwa maarufu wakati wote ni undertaker since 1993 hadi sasa ila kuanzia kizazi cha kina Rock 1998 na rekodi zake zikavunjwa na Cena na rekodi za Cena na wote zimevunjwa na Roman na umaarufu wake inamaana upo juu kuliko hao jamaa japo kila mmoja aliwika kwa wakati wake ila bado Roman anafanbase kubwa sana sema anaenda kukaa nje ya ulingo kwa muda usiojulikana ila trust me jamaa alikuwa anaenda kujizolea umaarufu zaidi ya umri wake....

Sema hakuna namna kwa sasa umaarufu unarudi kwa Brown ama tena kwa coward champion Brock Lesnar mkongwe
 
Nimeandika kwa kuwa najua nilichoandika kaka,
Wakati Cena anashangiliwa miaka ya 2011 huko Roman alikuwa anazomewa kila kukicha lakini sasa ndie mtu wa tatu kwa kulipwa mshahara mkubwa WWE lakini pia ili umamini kuwa anamzidi kwa wingi wa mashabiki Roman ameivunja rekodi ya mauzo ya tiketi ya JOHN Cena na hakuna anaeuza na alieuza kumliko so kama si kansa basi mwakani angekuwa ndie anaelipwa zaidi kuliko John so najua nilichoandika ila wewe ndie unaongozwa na mahaba
Currently big dog ndie alikua ndie image ya WWE.....achana na asiejua huyo mtu wa mahaba
 
Hii show itakuwa live leo kuanzia saa nane ya usiku supersport 8!
Screenshot_20181028-163257(1).jpeg
 
Back
Top Bottom