Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mkuu ukiwa unahitaji kujua chochote kuhusu wwe uwe unaposti hapa utapata majibu fasta sana!!Hii habari nilikuwa naitafuta sana asante sana mkubwa.
Ijumaaa kwenye crown itakua hapatoshiMnyama brock lesnar amerudi na aliichonifurahisha ni kumpiga f5 jamaa mwenye miguvu mingi ila akili hamna(braun strowman)..sioni mpinzani wa brock lesnar the beast mara mia wangempa mkanda wake kuliko kuchanga viingilio vya watu alaf wakaenda kushuhudia maiti
Upo sawa kabisa, bila kukwepesha macho tunataka watu kama roman akae na mkanda asumbue hakuna wa kumnyang'anya harak kama AJ style vs samoa joe jinsi samoa anavypota tabu kumnyang'anya mkanda AJ STYLE .... Ijumaa tusubiri tuoneYule ni fala tu, dogo finn balor mwenyewe ana uwezo wa kumpush to limit!......sisi tunataka achukue mkanda mtu ambae atasababisha tuone huo mkanda unawaniwa kwenye mechi za raw deile ila huyo fala ataenda kulala nao nyumbani kwake na mke wake!!
Muda ni jioni saa moja si ndiyoWameshatua Saudia kwa ajili ya crown jewel hapo Ijumaa!!View attachment 917106
Nipo nimekumiss pia umenitenga mno, vipi bado upo arusha? Namba yangu ulitupa?Ww mtu upo daaah,mekumiss rafiki yangu
Yes,saa kumi na mbili hadi saa moja ni pre-show mkuu!Muda ni jioni saa moja si ndiyo
And i miss you more tutafutane basiWw mtu upo daaah,mekumiss rafiki yangu
Hahhaha elias ananifurahishaga sanaWho wants to walk with Elias?
Acha kuongea kwa ushabiki.... Zungumza ukweliMuulize undertaker atakuelezea vzr kuhusu kipigo alichopokea kutoka kwa the beast maana yeye ndie aliyemtoa bikra..brock kwa sasa hana mpinzani wwe ata huyo roman hamwezi.
Mkanda wa heavy weight wa Raw anapewa Monster Among Men, mieleka huwa wananamna ya kumpata bingwaUpo sawa kabisa, bila kukwepesha macho tunataka watu kama roman akae na mkanda asumbue hakuna wa kumnyang'anya harak kama AJ style vs samoa joe jinsi samoa anavypota tabu kumnyang'anya mkanda AJ STYLE .... Ijumaa tusubiri tuone
Nikiwa naangalia WWE huwa sitaki mtu apite mbele yangu nakua na hasira naweza mrukia RKO mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yes,saa kumi na mbili hadi saa moja ni pre-show mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23] RKO ya sakafuni!Nikiwa naangalia WWE huwa sitaki mtu apite mbele yangu nakua na hasira naweza mrukia RKO mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nambeba juu kwa juu nampeleka sakafuni kama Randyorton hahahahah[emoji23][emoji23][emoji23] RKO ya sakafuni!
washindi ni hawa wafuatao:brothers of destruction,mnyama mwenyewe reining,difending,undisputed,universal heavyweight champion burooooooooook lesnar a.k.a the beast,the bar is open for business,aj lazima ajinyenyeee uwanjani hawez na hajawai kuchomoa kokina ya samoe joeWWE Crown Jewel matches:
Triple H & Shawn Michaels vs. The Undertaker & Kane: Heavy involvement from Michaels helped Triple H dispatch Taker at Super Show-Down in Australia. After the match, when it looked like the four men had made up and were celebrating together in the ring after the bout, the Brothers of Destruction turned on the former DeGeneration X members by Tombstone Piledriving, chokeslamming and otherwise ruining them to end the show. On the Raw following what took place in Australia, Michaels' in-ring return after over eight years away was confirmed as the tag team match was set.
Universal Championship:- Brock Lesnar vs. Braun Strowman: After the stunning announcement by former universal champion Roman Reigns that he is battling leukemia, the decision was made later on that edition of Raw that the originally-scheduled triple threat bout will now be a 1-on-1 affair between Lesnar and Strowman for the vacant title.
WWE Championship-AJ Styles (c) vs. Samoa Joe: Styles retained his title over Joe at Super Show-Down, and Bryan became the No. 1 contender by defeating The Miz in 2:25 on the same show. That was until Bryan reportedly refused to attend Crown Jewel, pulling out of the show. WWE got his title match out of the way Tuesday night on SmackDown, clearing the way for Joe to attack both men and slide into the open match.
SmackDown Tag Team Championship- The Bar (c) vs. New Day:A Big Show heel turn on the SmackDown 1000 episode allowed Sheamus & Cesaro to capture the titles from New Day. The following week on SmackDown Live, the immediate rematch was announced for this Crown Jewel event.
WWE World Cup: The World Cup tournament will take place throughout the entire Crown Jewel event, with the bracket featuring a Raw side and SmackDown Live side. Below at the photo is a look at the bracket for Friday's tournament to determine the "best in the world." View attachment 917738
AnapewajeMkanda wa heavy weight wa Raw anapewa Monster Among Men, mieleka huwa wananamna ya kumpata bingwa
anapewaje mkuu?Mkanda wa heavy weight wa Raw anapewa Monster Among Men, mieleka huwa wananamna ya kumpata bingwa
Hivi huwa huoni katika mieleka kuna kipindi wanampa promo mtu 1 hadi unashangaa Mfano Lashley alivyokuwa anataka kurudi WWE alitangazwa sana, navyoona mm taji atakuwa nalo Monsteranapewaje mkuu?