Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi naamini Brock Lesnar atapata hiyo kitu hapo[emoji116] kutoka kwa dogo Seth rollins na ataachia mkanda bila kupenda!!Pambano litakuwa tamu ila Seth atapigwa naamin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naamini Brock Lesnar atapata hiyo kitu hapo[emoji116] kutoka kwa dogo Seth rollins na ataachia mkanda bila kupenda!!Pambano litakuwa tamu ila Seth atapigwa naamin
Umemmiss wakati jana amepigana kwenye tag team yeye na Jeff hardy dhidi ya Randy Orton na the Miz kule Smackdown live halafu tag team yao ikashinda!I miss my man Rey Mysterio
nilikuwa nafuatilia walichelewa kuanza nikahamia kutazama mechi ya Arsenal na Blackpool. gonna watch the replay todayUmemmiss wakati jana amepigana kwenye tag team yeye na Jeff hardy dhidi ya Randy Orton na the Miz kule Smackdown live halafu tag team yao ikashinda!
S211Naomba kujua Leo crown jelly itaoneshwa dstv channel gani
Baada ya kushinda orton akasilika akawapa RKO wote mpaka teammate wKe miz.... Katika hii business ya wrestling hakuna mtu namkubali kama orton na style yake ya RKOUmemmiss wakati jana amepigana kwenye tag team yeye na Jeff hardy dhidi ya Randy Orton na the Miz kule Smackdown live halafu tag team yao ikashinda!
Supersport 11 kuanzia saa kumi na mbili jioni mkuu!Naomba kujua Leo crown jelly itaoneshwa dstv channel gani
Umesikia wapi nianze kuset na kutest mitambo ya simu yangu mkuu kwa sababu hakuna kama redbox tv app!!....ila ratiba ya supersport 11 inaonyesha kuwa wataonyesha!!Nasikia dstv hawaoneshi Leo crown jewel
Nimejalibu kuchat nao wanadai hawana Latina ya kuonesha ,na kama wataonesha s11 inamaana as wa kifurushi cha 19,000 atuwez kuonaUmesikia wapi nianze kuset na kutest mitambo ya simu yangu mkuu kwa sababu hakuna kama redbox tv app!!....ila ratiba ya supersport 11 inaonyesha kuwa wataonyesha!!
Kuna uwezekano mkubwa kweli wasionyeshe kwa sababu hata kwenye page zao za social media hawajafanya promo yeyote ila tusubiri tuone nini kitaendelea!!Nimejalibu kuchat nao wanadai hawana Latina ya kuonesha ,na kama wataonesha s11 inamaana as wa kifurushi cha 19,000 atuwez kuona
Real?Nasikia dstv hawaoneshi Leo crown jewel
Hiyo application ya redbox dondosha link hapa mkuu ninyonyeUmesikia wapi nianze kuset na kutest mitambo ya simu yangu mkuu kwa sababu hakuna kama redbox tv app!!....ila ratiba ya supersport 11 inaonyesha kuwa wataonyesha!!
Nenda google andika redbox tv apk then website yao itakuja halafu unafanya installation!Hiyo application ya redbox dondosha link hapa mkuu ninyonye
Njoo pm!Na kwenye Redbox channel gani wataonesha