Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sasa hivi ni pre-show!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri ngoma ianze baada ya pre_show mkuuWenye redbox kama mimi kitu kipo live sasa hivi![emoji116][emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 919095
Hata mimi nasubiria ngoma ianze ili kulinda bando langu ila nasikia kwenye pre show kuna mechi kati ya Nakamura na Rusev day kwa ajili ya kugombania United state champion kwa hiyo ni muhimu kuchungulia chungulia wakati huu wa pre show pia!!Nasubiri ngoma ianze baada ya pre_show mkuu
Kwenye survivor series hili dude the beast litakutana na AJ styles basi kama ni likali sana kama linavyodai basi limpige AJ styles F5 tano kwa dakika tatu kama lilivyofanya kwa Broun Strowman!!Pumbavu kabisa! Braun kajitahidi kuvumilia 4F5s, si mchezo. Japo constable kamharibia
Ingekuwa ni ujinga kuangalia scripted events biashara ya tamthiliya isingekuwepowatu wazima na akili zenu, mmening'iniza kende mbili kuhadithiana michezo scripted...
Hata watoto siki hizi wanajua Wrestling ni show game ndio maana hawana time nayo...
lakin wanaume wazima na midevu yenye maupele hadi mnasikitika eti kukosa show, mara inaoneshwa channel gani!!!
Msiba huu