Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Umemmiss wakati jana amepigana kwenye tag team yeye na Jeff hardy dhidi ya Randy Orton na the Miz kule Smackdown live halafu tag team yao ikashinda!
nilikuwa nafuatilia walichelewa kuanza nikahamia kutazama mechi ya Arsenal na Blackpool. gonna watch the replay today
 
Umemmiss wakati jana amepigana kwenye tag team yeye na Jeff hardy dhidi ya Randy Orton na the Miz kule Smackdown live halafu tag team yao ikashinda!
Baada ya kushinda orton akasilika akawapa RKO wote mpaka teammate wKe miz.... Katika hii business ya wrestling hakuna mtu namkubali kama orton na style yake ya RKO
 
Umesikia wapi nianze kuset na kutest mitambo ya simu yangu mkuu kwa sababu hakuna kama redbox tv app!!....ila ratiba ya supersport 11 inaonyesha kuwa wataonyesha!!
Nimejalibu kuchat nao wanadai hawana Latina ya kuonesha ,na kama wataonesha s11 inamaana as wa kifurushi cha 19,000 atuwez kuona
 
Kuna nini kinaendelea katika kundi LA shield? Huyu dogo mbona kampiga sana mwenzake kwenye Monday night raw
 
Nimejalibu kuchat nao wanadai hawana Latina ya kuonesha ,na kama wataonesha s11 inamaana as wa kifurushi cha 19,000 atuwez kuona
Kuna uwezekano mkubwa kweli wasionyeshe kwa sababu hata kwenye page zao za social media hawajafanya promo yeyote ila tusubiri tuone nini kitaendelea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…