Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Nasubiri ngoma ianze baada ya pre_show mkuu
Hata mimi nasubiria ngoma ianze ili kulinda bando langu ila nasikia kwenye pre show kuna mechi kati ya Nakamura na Rusev day kwa ajili ya kugombania United state champion kwa hiyo ni muhimu kuchungulia chungulia wakati huu wa pre show pia!!
 
Seth rollins baada ya kugombana na Dean Ambrose atapata taabu sana!!....Drew Mcintyre amemsaidia Dolph Ziggler kushinda!!
 
Pumbavu kabisa! Braun kajitahidi kuvumilia 4F5s, si mchezo. Japo constable kamharibia
Kwenye survivor series hili dude the beast litakutana na AJ styles basi kama ni likali sana kama linavyodai basi limpige AJ styles F5 tano kwa dakika tatu kama lilivyofanya kwa Broun Strowman!!
 
watu wazima na akili zenu, mmening'iniza kende mbili kuhadithiana michezo scripted...
Hata watoto siki hizi wanajua Wrestling ni show game ndio maana hawana time nayo...


lakin wanaume wazima na midevu yenye maupele hadi mnasikitika eti kukosa show, mara inaoneshwa channel gani!!!

Msiba huu
 
Hii finishing ya babu Shane McMahon aliyompiga Dolph Ziggler siyo ya nchi hii![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa ni ujinga kuangalia scripted events biashara ya tamthiliya isingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…