Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Huyu Mama umemkomesha mkuu hatathubutu tena kukanyaga kwenye huu uzi!![emoji122][emoji122][emoji122]Ingekuwa ni ujinga kuangalia scripted events biashara ya tamthiliya isingekuwepo
Mbona andiko lako linathiibitisha wewe mwenyewe una mtindio was ubongo!?watu wazima na akili zenu, mmening'iniza kende mbili kuhadithiana michezo scripted...
Hata watoto siki hizi wanajua Wrestling ni show game ndio maana hawana time nayo...
lakin wanaume wazima na midevu yenye maupele hadi mnasikitika eti kukosa show, mara inaoneshwa channel gani!!!
Msiba huu
Nimeipenda hiyo "Ngoja" mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23]Berry cobins ndie anaeharibu wwe sahivi.. Ngoja
Atapa kipigo kila kona, akiwa chooni, kwenye gari.. Si unamjua monster alivyo kichaa lazima mvunje mahali kwanza.. Atamkimbiza kama Kelvin alivyo fanyiwaNimeipenda hiyo "Ngoja" mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23]
Kevin Owens alipataga kipigo cha mbwa koko!!Atapa kipigo kila kona, akiwa chooni, kwenye gari.. Si unamjua monster alivyo kichaa lazima mvunje mahali kwanza.. Atamkimbiza kama Kevin alivyo fanyiwa
Lilishampiga litampiga tenaKwenye survivor series hili dude the beast litakutana na AJ styles basi kama ni likali sana kama linavyodai basi limpige AJ styles F5 tano kwa dakika tatu kama lilivyofanya kwa Broun Strowman!!
Hili ndio tatizo la mwanamke kukosa mgegedajiwatu wazima na akili zenu, mmening'iniza kende mbili kuhadithiana michezo scripted...
Hata watoto siki hizi wanajua Wrestling ni show game ndio maana hawana time nayo...
lakin wanaume wazima na midevu yenye maupele hadi mnasikitika eti kukosa show, mara inaoneshwa channel gani!!!
Msiba huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili ndio tatizo la mwanamke kukosa mgegedaji
Huyu mwanamke nina mashaka nae kama huwa anaoga ahsubuh huyuwatu wazima na akili zenu, mmening'iniza kende mbili kuhadithiana michezo scripted...
Hata watoto siki hizi wanajua Wrestling ni show game ndio maana hawana time nayo...
lakin wanaume wazima na midevu yenye maupele hadi mnasikitika eti kukosa show, mara inaoneshwa channel gani!!!
Msiba huu
Atapigwa kipigo cha mbwa kokoBerry cobins ndie anaeharibu wwe sahivi.. Ngoja
[emoji23][emoji23][emoji23]Hili ndio tatizo la mwanamke kukosa mgegedaji
Kajitaidi wapi tuwe tunakubali ukweli kuwa Braun hamwezi Brock Lesnar.mara ya nne Kama sio ya tano anapigwa Tena na mnyama brockPumbavu kabisa! Braun kajitahidi kuvumilia 4F5s, si mchezo. Japo constable kamharibia
Brock kashawahi kumpiga huyo aj styles.kifupi kwasasa Hana mpinzaniKwenye survivor series hili dude the beast litakutana na AJ styles basi kama ni likali sana kama linavyodai basi limpige AJ styles F5 tano kwa dakika tatu kama lilivyofanya kwa Broun Strowman!!
Kajitahidi sanaaa, wangapi wanaweza kuvumilia F5 hata mbili? Ukipigwa ile F5 moja ndio basi ila jamaa kavumilia NNEKajitaidi wapi tuwe tunakubali ukweli kuwa Braun hamwezi Brock Lesnar.mara ya nne Kama sio ya tano anapigwa Tena na mnyama brock
Huyo mwanaume aliyekuoa na akakuzalisha huyo ndio Ana msiba mzito maana kichwani upo empty.nawahurumia wanao hasa deborawatu wazima na akili zenu, mmening'iniza kende mbili kuhadithiana michezo scripted...
Hata watoto siki hizi wanajua Wrestling ni show game ndio maana hawana time nayo...
lakin wanaume wazima na midevu yenye maupele hadi mnasikitika eti kukosa show, mara inaoneshwa channel gani!!!
Msiba huu
Umemjibu vzr sanaIngekuwa ni ujinga kuangalia scripted events biashara ya tamthiliya isingekuwepo
But Constable Corbin aliharibu game kwa kuanza kumshambulia StrowmanIfike mahali huyu mnyama Brock Lesnar apewe heshima zake zote.huyo Braun Kila siku anapigana mechi,mnyama katulia nyumbani anacheki muvi ila karudi na kampiga si chini ya dakika10.bado kuna watu bado wanataka apigane Kila siku ataua watu uwanjani