Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mkuu sidhani kama AOP wana ubavu wa kuwapiga the bar, maana the bar ni wajanja hata kucheza faulo bila referee kushtuka. AOP wana miguvu ila hawajui kuitumia kama brown strawman
 
As it stands, sidhan kama kuna mwanamke iwe raw au smackdown mwenye uwezo wa kumpiga Ronda.. hayupo, yule mwanamke ni habari nyingne
 
Kweli, Charlotte siku hizi amelegea sana, kwanza kawa mtu mzima sana,
Umri umemtupa mkono, ila bado yaliyomo yamo, isingaikua janja janja ya Becky wakati wanawania mkanda ule, Charlotte angekua bingwa wao....But when it comes to Ronda, ni habari nyingne yule mtu

labda ipo siku atachoka , Unajua hata Asaka alikuja hv hv, sijui alikumbwa na nini akapoa ghafla.. but so far.. Ronda ni habari nyingne
 
Kwa wale wenye DSTV ratiba ya vipindi vyao inaonyesha kuwa survivor series itakuwa hewani live kuanzia saa tisa ya usiku leo(18/11/2018) supersport 8, ambapo pre-show itaanza saa saba ya usiku.Kwa wale ambao wapo mbali na TV kama mimi au ambao hawana DSTV njooni pm niwape maujanja ya kuangalia live kama kawa,nasema njooni pm kwa sababu hizi show ni biashara za watu na huruhusiwi kuangalia free kwa hiyo siyo vyema kuweka jinsi ya kuangalia free hapa!!
 
Ukiwasimamisha pamoja, ni kama mtu na mtoto wake

Charlotte ana appearance ya ubibi kabisa, hata nyama zimeanza kushuka

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app


Charllote ni fighter lkn anapokutana na watu wanaojua anaonekana hajui

Charlotte hana uwezo wa kumpiga Rhonda ht kidogo

Ila umri wake ni wa kawaida hivyo usije kusema charllote ni mzee
 
Tayari pre-show ipo hewani, wale ambao wameshaamka kwa ajili ya survivor series tujuane hapa![emoji847][emoji847][emoji847]
 
Smackdown wameanza kugawa kipigo cha mbwa koko, tayari wameshinda mechi ya tag team elimination!
 
Wrestling miaka hii imekua"fuckin' boring.

Kama kinachoendelea hapo survival series sa hivi ni upuuzi mtupu.

Hii "PG era" imekua ni changamoto kwny wrestiling aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…