Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Mkuu sidhani kama AOP wana ubavu wa kuwapiga the bar, maana the bar ni wajanja hata kucheza faulo bila referee kushtuka. AOP wana miguvu ila hawajui kuitumia kama brown strawmanMechi ya brock lesnar na denyo brayan huwezi kusema brock anaenda kupigana bali kwa heshima yake utasema brock anaenda kufanya mazoezi maana atampa kichapo waandaji pambano wajiandae kwenda kuitoa maiti ya denyo brayani.kwa mechi za kugombea mikanda raw watashinda maana denyo atapigwa na mnyama brock,nakamura atachezea kichapo kutoka kwa seth na sahv ana hasira balaa,badest bich on da planet na yeye atampiga queen flair,aop watawapiga the bar iz open for bizness....