Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
2-0 mpaka sasaSeth rollins amemrusha Nakamura kichurachura cha nguvu![emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi ni 3-0!....yale mabaunsa ya AOP yameshinda pia!2-0 mpaka sasa
Undefeated streak ya Ronda Rousey Leo ndk bye bye
Dah lkn ndo fresh kampunguza Ronda makali
Charlotte ameona kuwa hamuwezi Ronda Rousey akachagua kuwa coward!!Nani kashinda
Hiyo ilikua planned ili kutengeneza enemity kati ya Ronda na Flair kisha watengeneze match yao ya next PPV's hususani WrestlemaniaFlair kazingua sana
Charlotte ameona kuwa hamuwezi Ronda Rousey akachagua kuwa coward!!
That was how it was supposed to be ili event yao wawili ya next PPV's hususani Wrestlemania itengenezweCharlotte ameona kuwa hamuwezi Ronda Rousey akachagua kuwa coward!!
Planned mtu anapigwa kana kwamba anauawa??!Hiyo ilikua planned ili kutengeneza enemity kati ya Ronda na Flair kisha watengeneze match yao ya next PPV's hususani Wrestlemania
That was how it was supposed to be ili event yao wawili ya next PPV's hususani Wrestlemania itengenezwe
Kidogo ashindeDaniel Bryan anajifanya kuwa ana furaha!![emoji1][emoji1][emoji1]