Mkuu uko ufc na mmi napakubali kwelihii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Yani enzi hizo huyu nakamura yuko laini kama punga angekutana na wakina Benoit angekufa aiseeNakamuraaaaaaa huyu mjapanii
Mkuu uko ufc na mmi napakubali kweli
Kina jone bones, commier, mgregor wanatsha ila kinacho nichanganya mechi zao wanazpangaje mfano cjawai ona mechi ya magrega na jones japo wote light weight
Sasha ndo huyo mkuu... Ni mgumu na yy... Ila kwa asuka tu ndo kagonga mwambaHivi Sasha ndo yule anajiita THE BOSS?
Maana THE BOSS huwa nakubali pia, ingawaje kwa ASUKA najua hawezi.Hahha
Ndo huyo mkuu.... Kagumu nacho.... Ila asuka ndo kiboko yakeHivi Sasha ndo yule anajiita THE BOSS?
Maana THE BOSS huwa nakubali pia, ingawaje kwa ASUKA najua hawezi.Hahha
[emoji23][emoji23][emoji23]And I have got one question to everybody here tonight...... Who wants to work with Elias......
DSTV ni cheap zaidi,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi unakula wrestling karibia kila siku kupitia supersport 9 na supersport 10!....Hutakosa chochote kinachohusu WWE!Daah! Wazee, Ina maana STARTIMES hawana Channel yoyote ya kuonyesha WWE?
Nitawahama aisee?
Vipi Azam,WWE ipo?
DSTV kifurushi cha kuwezesha kuangalia WWE ni sh ngapi kwa Mwezi?
STARTIMES, Soon natupa king'amuzi chenu.
19,000/- tu kwamwezi unakula wrestling karibia zote..... Nimeipenda hiyo mkuuDSTV ni cheap zaidi,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi unakula wrestling karibia kila siku kupitia supersport 9 na supersport 10!....Hutakosa chochote kinachohusu WWE!
Asante mkuu kwa Taarifa...Ngoja ninunue DSTV.DSTV ni cheap zaidi,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi unakula wrestling karibia kila siku kupitia supersport 9 na supersport 10!....Hutakosa chochote kinachohusu WWE!
Nia jacks atampa changamoto sababu ya mwiliThe Empress of tomorrow... Asuka.....paka sasa hajapata mpinzani.... Baily kajitaidii weeeee ila kachemsha
Eddie guerrero yule mme wa vicky guererro kumbe jamaa alikufa nilijua kaamua kupumzika yeye na undertaker walikua maadui wakubwa, na uyo jamaa ilikuaje akaua familia na yeye kujiua ilikuaje mkuu simulia kidogoSure, dah umenikumbusha hao jamaa, wengi washa fariki . RIP Eddie Guerrero, Big dad V aka Vicera, Umaga na Pia Chris Benoit ambae aliua familia yake na yeye pia kujiua .
Nia Jacks hawez kumpiga asuka.... Sababu asuka anatumia akili nyingi hasa akigundua mpinzani wake anaminguvu mingiNia jacks atampa changamoto sababu ya mwili
Hata Spear huikubali???Ila mi Roman Reigns simkubali kabisa..... Ile staili yake ya finishing na ngumi wala haina mvuto
Muulize Bray wyatt alifanyiwa nini na Roman reign katika match ya elimination match!Hata Spear huikubali???