Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

hii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Mkuu uko ufc na mmi napakubali kweli
Kina jone bones, commier, mgregor wanatsha ila kinacho nichanganya mechi zao wanazpangaje mfano cjawai ona mechi ya magrega na jones japo wote light weight
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mkuu uko ufc na mmi napakubali kweli
Kina jone bones, commier, mgregor wanatsha ila kinacho nichanganya mechi zao wanazpangaje mfano cjawai ona mechi ya magrega na jones japo wote light weight

Mkuu hii ni busness na mechi zinapangwa kutokana na point unazo kusanya lakini pia namna unavyovyutia mashabiki . UFC sio ya kukosa kabisa
 
The Empress of tomorrow... Asuka.....paka sasa hajapata mpinzani.... Baily kajitaidii weeeee ila kachemsha
 
And I have got one question to everybody here tonight...... Who wants to work with Elias......
 
Daah! Wazee, Ina maana STARTIMES hawana Channel yoyote ya kuonyesha WWE?


Nitawahama aisee?

Vipi Azam,WWE ipo?

DSTV kifurushi cha kuwezesha kuangalia WWE ni sh ngapi kwa Mwezi?

STARTIMES, Soon natupa king'amuzi chenu.
DSTV ni cheap zaidi,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi unakula wrestling karibia kila siku kupitia supersport 9 na supersport 10!....Hutakosa chochote kinachohusu WWE!
 
Kwa sisi wa mobdro naona kuna skysport kama zote, so ni Chanel IPI inayoonyesha WWE na siku gani na muda gani???
 
Sure, dah umenikumbusha hao jamaa, wengi washa fariki . RIP Eddie Guerrero, Big dad V aka Vicera, Umaga na Pia Chris Benoit ambae aliua familia yake na yeye pia kujiua .
Eddie guerrero yule mme wa vicky guererro kumbe jamaa alikufa nilijua kaamua kupumzika yeye na undertaker walikua maadui wakubwa, na uyo jamaa ilikuaje akaua familia na yeye kujiua ilikuaje mkuu simulia kidogo
 
Nawakumbuka kina
Triple H
Edge
Jeff hardy
CM Punk
Great Khali
Umaga (RIP)
Randy orton
Batista
Undertaker
Chris Jericho
Big Shaw
Kane
Mark Henry
Mr Kennedy
Ric flair
Shawn Michaels
 
Back
Top Bottom