Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi naamini siku Brock Lesnar akiingia kwenye mikono ya Seth rollins au finn balor hatoki salama yule!Kiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.
uko sahihi kabisa mkuu, yaani mechi zote za lesner huwa hazina utamu, same applies to Ronda, bora hata huyu Ronda ana mda mfupi kwenye wrestling, ila lesner ni mkongwe huku na anafanya madudu tu.Kiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.
Chief, Rhonda na Charlotte wanatoka roster mbili tofauti sidhani kama kutakuwa na mechi maalum kati yao, labda tutegemee J4 kwenye SD live ronda avamie smackdown amchezeshee kichapo CharlotteHiyo ilikua planned ili kutengeneza enemity kati ya Ronda na Flair kisha watengeneze match yao ya next PPV's hususani Wrestlemania
Nilikuwa napenda sana kundi lao;wanapopigana wenyewe kwa wenyewe mzuka wa kuangalia unakuwa haupo.Next PPV event ni TLC, itakuwa Dec 16 pambano ambalo lipo confirmed mpaka sasa ni IC championship kati ya Seth Rollins VS Dean Ambrose..
Kwakweli Charlotte aliniudhi sana, hata km ni kutengeneza bifu sio kwa kipigo kila.Chief, Rhonda na Charlotte wanatoka roster mbili tofauti sidhani kama kutakuwa na mechi maalum kati yao, labda tutegemee J4 kwenye SD live ronda avamie smackdown amchezeshee kichapo Charlotte
Mara nyingi matukio ya kuvamia brand moja huwa yanaonekana ikikaribia survivor series ili waipe promo, tofauti na hapo watakuja kukutana royal rumbleChief, Rhonda na Charlotte wanatoka roster mbili tofauti sidhani kama kutakuwa na mechi maalum kati yao, labda tutegemee J4 kwenye SD live ronda avamie smackdown amchezeshee kichapo Charlotte
Mimi maswala ya kupigana na zana huwa sipendi sana,mimi nataka wapigane kavukavu ili nione kati ya DDT na CURB STOMP ni ipi kali!Next PPV event ni TLC, itakuwa Dec 16 pambano ambalo lipo confirmed mpaka sasa ni IC championship kati ya Seth Rollins VS Dean Ambrose..
Ni michezo tu mkuu, wanapigana wenyewe kwa wenyewe halafu wanakuja kurudiana tena![emoji1][emoji1][emoji1]Nilikuwa napenda sana kundi lao;wanapopigana wenyewe kwa wenyewe mzuka wa kuangalia unakuwa haupo.
Mi ningependa mechi yao iwe The last man Standing tuone nani atakaesandaMimi maswala ya kupigana na zana huwa sipendi sana,mimi nataka wapigane kavukavu ili nione kati ya DDT na CURB STOMP ni ipi kali!
Nadhani daniel na aj pia watapambana.Next PPV event ni TLC, itakuwa Dec 16 pambano ambalo lipo confirmed mpaka sasa ni IC championship kati ya Seth Rollins VS Dean Ambrose..
Leo inawezekana kukawa na Rematch kati yaoNadhani daniel na aj pia watapambana.
Kwakweli Charlotte aliniudhi sana, hata km ni kutengeneza bifu sio kwa kipigo kila.
Nachukia sana wapiganaji ambao hawako fair, mtu km unajiamini ya nn kuchukua fimbo na viti?
Wajeda kwenye monday night raw ya jana wamechezea kichapo cha mbwa koko![emoji1][emoji1][emoji1]Kale kajamaa ka wale wajeda kalijikojolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi siku zote najua anaweza kupigana
Wajeda kwenye monday night raw ya jana wamechezea kichapo cha mbwa koko![emoji1][emoji1][emoji1]
That's why Cena,Roman, Kwanini watu wanawapenda kwakuwa wanapigana fair
Lakini Charlotte na Becky hawapigani kwa fair mpaka watumie zana nyingine
Wale majeda wana nguvu sana ila akili hawana!!....Kwenye monday night raw ya jana wamepigwa na yule mtoto anaeitwa Chad Gable!Ila walishinda kibahatj bahati tu..