Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kale kajamaa ka wale wajeda kalijikojolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi siku zote najua anaweza kupigana
Kale pamoja na kuwa ka general manager ka NXT, bado hakawezi kupigana as such
 
Ile match ya Mustapha Ally vs Buddy Murphy ilikuwa taam kuliko hata Main Event ya Survivor Series
Lesner ndo alitaka kuharibu ile main event, tena bora Seth na nakamura ndo ingekuwa main event maana match nyingi za lesner huwa hazivuki dakika 7, so boring
 
Wale wenye ratiba ya NXT ya live naomba muweke hapa please!(Siku na saa)
 
Wale wenye ratiba ya NXT ya live naomba muweke hapa please!(Siku na saa)
Chief ratiba hiyo hapo chini but sio Live, coz WWE show wanazorusha live ni MNR na SD live tu... hizo show nyingine kama 205 live na NXT huwa wanarecord kwanza ..

Chanel inaitwa OSN sports Action 1 HD
Muda ni saa 17:00 kwa saa za kwao
Siku ni Alhamis
 
Hao brock atawaua mchana kweupe.hakuna mpiganaji hapo zaidi ya waruka sarakasi na hakuna mwenye uwezo wa kumkalisha brock lesnar.nashangaa hao unaowataja kila wiki wao wanapigana lakinj brock yupo kwake analimba mbogamboga lakini akija uwanjani anawazibua sio kitoto.je angekua anapigana kila siku si ataua watu wengi?muulize braun strawman ambae ndio mbabe brock akiwa hayupo aulizwe kashapigwa mara ngapi.huyo seth na finn wote wanakalishwa na aj styles na denyo brian
Kama hamna mbabe wa kumpiga kwa sasa awe anakuja kwenye monday night raw awe anatangaza open challenges akutane na wale madogo akina finn balor na Seth rollins ili tuwe na ushahidi kwamba hakuna wa kumpiga kwa sasa!!
 
Ww sema unapenda waruka sarakasi ndipo tutakuelewa.pia ulichoongelea kwa ronda na brock umeongelea style zao za finishing na ambazo unajua kila mtu anayo yake.
 
Umeandika kwa mahaba na sio uhalisia
uko sahihi kabisa mkuu, yaani mechi zote za lesner huwa hazina utamu, same applies to Ronda, bora hata huyu Ronda ana mda mfupi kwenye wrestling, ila lesner ni mkongwe huku na anafanya madudu tu.
 
Nawakubali sana wana mieleka wanaogawa dozi kisawasawa ukikutana nao kwenye anga zao.wenyewe hawanaga ubishoo na sio lazima umpende yeye bali utake usitake utaipenda kazi yake.hatari sana ukikutana na brock,the man,edge,jericho na mbaya zaidi uwe ns bifu na randy orton utatamani usitishe mkataba.alichomfanyia jeff hardy na sasa kwa ray mysterio huyu jamaa ni muuaji hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…