Jahlex
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 512
- 604
Ilikuwa ni zaidi ya pambano
Hii mechi ilikuwa tamu sana leo![emoji39][emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni zaidi ya pambano
Hii mechi ilikuwa tamu sana leo![emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu mimi naamini kabisa Dude(Brock Lesnar) akipigana na dogo Seth rollins kuna uwezekano kabisa akamalizwa na hii finishing!!Watu wanasema kuwa Dude ana uwezo wa kumpiga kila mtu, mimi nabisha!!Ilikuwa ni zaidi ya pambano
Sasa mshaamini hakuna wa kumpiga Ronda?
Wengi walikuwa wanasema charlotte at Becky au asuka wanaweza kumpiga lkn mm nikawaambia charlotte au Becky hawawezi kumpiga Rhonda labda watumie viti au fimbo
Wale wa NXT ndio watamu zaidi mechi yao nilitamani isiishe. Wana style kama 100 hivi. Ilikuwa bonge la.mechihata wale jamaa wa NXT, wamekiwasha sio kidogo
Sure, maana TLC huwa sio tamu sana, mtu anaweza kuamua kutumiw siraha tu kama hawa waoga akina McIntyre, bob lashley na cobin walichofanya kwa strawmanMi ningependa mechi yao iwe The last man Standing tuone nani atakaesanda
Kale pamoja na kuwa ka general manager ka NXT, bado hakawezi kupigana as suchKale kajamaa ka wale wajeda kalijikojolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi siku zote najua anaweza kupigana
Ile match ya Mustapha Ally vs Buddy Murphy ilikuwa taam kuliko hata Main Event ya Survivor SeriesWale wa NXT ndio watamu zaidi mechi yao nilitamani isiishe. Wana style kama 100 hivi. Ilikuwa bonge la.mechi
Lesner ndo alitaka kuharibu ile main event, tena bora Seth na nakamura ndo ingekuwa main event maana match nyingi za lesner huwa hazivuki dakika 7, so boringIle match ya Mustapha Ally vs Buddy Murphy ilikuwa taam kuliko hata Main Event ya Survivor Series
Walikitifua sio kidogoIle match ya Mustapha Ally vs Buddy Murphy ilikuwa taam kuliko hata Main Event ya Survivor Series
Ila watapata tabu sana ......Strawman akirejea..Sure, maana TLC huwa sio tamu sana, mtu anaweza kuamua kutumiw siraha tu kama hawa waoga akina McIntyre, bob lashley na cobin walichofanya kwa strawman
Chief ratiba hiyo hapo chini but sio Live, coz WWE show wanazorusha live ni MNR na SD live tu... hizo show nyingine kama 205 live na NXT huwa wanarecord kwanza ..Wale wenye ratiba ya NXT ya live naomba muweke hapa please!(Siku na saa)
[emoji23][emoji23][emoji23]Kale kajamaa ka wale wajeda kalijikojolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi siku zote najua anaweza kupigana
Kama hamna mbabe wa kumpiga kwa sasa awe anakuja kwenye monday night raw awe anatangaza open challenges akutane na wale madogo akina finn balor na Seth rollins ili tuwe na ushahidi kwamba hakuna wa kumpiga kwa sasa!!
Ww sema unapenda waruka sarakasi ndipo tutakuelewa.pia ulichoongelea kwa ronda na brock umeongelea style zao za finishing na ambazo unajua kila mtu anayo yake.Kiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.
uko sahihi kabisa mkuu, yaani mechi zote za lesner huwa hazina utamu, same applies to Ronda, bora hata huyu Ronda ana mda mfupi kwenye wrestling, ila lesner ni mkongwe huku na anafanya madudu tu.