Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Sometimes hata me najiulizaga hivi wale wazungu woote walliopo uwanjani karibia 1k+, wanavumiliaje ule ujinga ujinga??Kuamini wwe wrestling ni kweli in sehemu ya ujinga pia. Mimi naupenda kwa sababu ni sehemu ya burudani kama burudani zingine tu Mf. Muvi za Hollywood tu. Mchezo gani sheria hazieleweki,Mara meneja ana timu yake na yeye anapigana,ukipigwa upande wake analazimisha ushindi uende kwao,wakifanya makosa waamuzi wakimaliza pambano meneja anafuta maamuzi ya mwamuzi. Kengine kanakojolea nguo za wenzake wenye nguo wanajifanya kusikitika had I wanapigwa. Yaani ni ufalafala tu tena ulio planned vema
Brawn strowman atapigwa hamna namnaTeam Lesnar mnazungumziaje swala la bingwa wenu kutokuwa na mechi kwenye TLC...????
Baba Mtakatifu
gebu
Ha ha ha ha haSometimes hata me najiulizaga hivi wale wazungu woote walliopo uwanjani karibia 1k+, wanavumiliaje ule ujinga ujinga??
Hivi kwanini walimtoa Curt Angle
Nimependa maoni yakoKuamini wwe wrestling ni kweli in sehemu ya ujinga pia. Mimi naupenda kwa sababu ni sehemu ya burudani kama burudani zingine tu Mf. Muvi za Hollywood tu. Mchezo gani sheria hazieleweki,Mara meneja ana timu yake na yeye anapigana,ukipigwa upande wake analazimisha ushindi uende kwao,wakifanya makosa waamuzi wakimaliza pambano meneja anafuta maamuzi ya mwamuzi. Kengine kanakojolea nguo za wenzake wenye nguo wanajifanya kusikitika had I wanapigwa. Yaani ni ufalafala tu tena ulio planned vema
Wale nao wako mbali nao nafikiri watakua wanaona mazingaombwe fulani tu ila nadhani pia kuna matv ambayo nao wanaangaliaSometimes hata me najiulizaga hivi wale wazungu woote walliopo uwanjani karibia 1k+, wanavumiliaje ule ujinga ujinga??
Basi kumbe huyo Corbin ndio hafanyi vurugu. Hii michezo imejaa upumbavu tuAlishindwa kumzuia Rhonda alikuwa akifanya vurugu
Naomba kuuliza hv TLC inafanyika lini na kuanzia saa ngapi
Tamina na Nia ni ubonhe wa bure lakini hawana loloteRhonda na Ember Moon wamepiga boonge moja la show
Randy Orton anatakiwa apelekwe raw ili akatolewe ujeuri kama akina Sami Zayn na kevin owens walivyotolewa ujeuri!
Randy namkubali sana jamaa muuaji huyu..ukiwa na bifu nae ujipangeRandy Orton anatakiwa apelekwe raw ili akatolewe ujeuri kama akina Sami Zayn na kevin owens walivyotolewa ujeuri!
Akipelekwa raw lazima anyang'anywe ujeuri wote yule!Randy namkubali sana jamaa muuaji huyu..ukiwa na bifu nae ujipange
Dawa ya jeuri kiboko yake ni StrawmanRandy namkubali sana jamaa muuaji huyu..ukiwa na bifu nae ujipange