Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Sometimes hata me najiulizaga hivi wale wazungu woote walliopo uwanjani karibia 1k+, wanavumiliaje ule ujinga ujinga??Kuamini wwe wrestling ni kweli in sehemu ya ujinga pia. Mimi naupenda kwa sababu ni sehemu ya burudani kama burudani zingine tu Mf. Muvi za Hollywood tu. Mchezo gani sheria hazieleweki,Mara meneja ana timu yake na yeye anapigana,ukipigwa upande wake analazimisha ushindi uende kwao,wakifanya makosa waamuzi wakimaliza pambano meneja anafuta maamuzi ya mwamuzi. Kengine kanakojolea nguo za wenzake wenye nguo wanajifanya kusikitika had I wanapigwa. Yaani ni ufalafala tu tena ulio planned vema