Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kuamini wwe wrestling ni kweli in sehemu ya ujinga pia. Mimi naupenda kwa sababu ni sehemu ya burudani kama burudani zingine tu Mf. Muvi za Hollywood tu. Mchezo gani sheria hazieleweki,Mara meneja ana timu yake na yeye anapigana,ukipigwa upande wake analazimisha ushindi uende kwao,wakifanya makosa waamuzi wakimaliza pambano meneja anafuta maamuzi ya mwamuzi. Kengine kanakojolea nguo za wenzake wenye nguo wanajifanya kusikitika had I wanapigwa. Yaani ni ufalafala tu tena ulio planned vema
Sometimes hata me najiulizaga hivi wale wazungu woote walliopo uwanjani karibia 1k+, wanavumiliaje ule ujinga ujinga??
 
Nimependa maoni yako
 
Sometimes hata me najiulizaga hivi wale wazungu woote walliopo uwanjani karibia 1k+, wanavumiliaje ule ujinga ujinga??
Wale nao wako mbali nao nafikiri watakua wanaona mazingaombwe fulani tu ila nadhani pia kuna matv ambayo nao wanaangalia
 
Randy Orton anatakiwa apelekwe raw ili akatolewe ujeuri kama akina Sami Zayn na kevin owens walivyotolewa ujeuri!
 
Back
Top Bottom