Triple H vs Cena nayo ilikuwaga kali snWwe ilikuwa zaman trump na vinc macmahon uku maywether na big show ilikuwa hata mabifu ndy usiseme baadhi ya mabifu ninayo yakumbuka
1.The rock vs stone cold
2.Mack henrI vs batista
3.Randy orton vs undertaker
4.Boker t vs boogeyman(mla minyoo)
Rey mysterio vs chavo guerolo
5 .Ecw vs raw
6.Raw vs smack down
7.Jbl vs eddy guerelo Hili ndy pambano la mwisho la eddy
8.Batista vs undertakel
9.Big show vs big daddy v mpaka ulingo ukasambalatika
10.Trish vs naomi
Alipigwa!!Behaviourist vipi Mitz alishindaa ???
hua naangalia mara mokomoko kwa kua bob lashley na johny morrison wapo kule na ni watu nawakubali kwenye tasnia ya wrestling, wengi wametoka wamekuja WWE, najua nao waatarudi wwe tuHivi kuna mtu anaangaliagia Impact wresting.... Hebu nipen hints zake
Nilikuwa naangalia Impact..... Wakawa wanapigana wadada.... Nikasema ngoja nitafute ambae naweza kumpambanisha na Asuka.... Kwa kweli sikuonahua naangalia mara mokomoko kwa kua bob lashley na johny morrison wapo kule na ni watu nawakubali kwenye tasnia ya wrestling, wengi wametoka wamekuja WWE, najua nao waatarudi wwe tu
kiukweli impact sikuizi imepoteza ladha kama zamani, storyline mbovu kutokana na uongozi mbovu, stars kama samoah,aj styles, bobby roode, wakali wote wameondoka
Kwa mbali naona ina ukweli... Maana Roman reigns charge yake ni sawa kabisaYa kweli haya?[emoji116][emoji32][emoji32][emoji32]
The miz kupata charge sifuri ni sawa ila Elias kupata charge 90 ni illusion tupu!!Kwa mbali naona ina ukweli... Maana Roman reigns charge yake ni sawa kabisa
Umesahau Elias alimpiga Cena na Brown stromen kwa pamojaThe miz kupata charge sifuri ni sawa ila Elias kupata charge 90 ni illusion tupu!!
278 mkuu, ukijumuisha na hii ya elimination chamber 2018, anaenda kunyakua raw divas champ kutoka kwa a.bliss at WMHivi kwann Asuka asipangiwe apigane na wanaume..... Maana Nia Jax ndo anaogopeka lakin kila siku anapokea kichapo toka kwa asuka...... Yaan kapigana mapambano 277 na kashinda yote...... Inabidi apangiwe na kina alias, roman reigns .....maana wanawake wenzake anawaonea
Brock lesner akipigwa na roman natembea hapa na kariakoo kwa miguuBrock Lesner atapigwa na Roman Reign and no one will believe this!!
Get these hands amekula spear mbili akasalimu amri!!....Brock lesnar ni mzito sana kwa hiyo yeye atakula spear tatu!!Brock lesner akipigwa na roman natembea hapa na kariakoo kwa miguu