Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Finishing ya roman rahis sana kuikataa
Mtu mzito kama Get these hands au Brock Lesnar akilegea kidogo tu hawezi kukataa finishing ya spears bali ataipokea kwa mikono miwili kama Strowman alivyoipokea kwa mikono miwili mechi ya jana!
 
Ntu kama fin ballor hawez kupigwa na finishing ile
Fin ballor ni mtu hatari sana WWE,kama siyo strowman kuingilia alikuwa amtoe Roman Reign kwenye mechi ya jana kwani baada ya kumpiga roman reign ile finishing yake roman reign aliugulia maumivu kwa mda mrefu sana pale chini!!
 
Fin ballor ni mtu hatari sana WWE,kama siyo strowman alikuwa amtoe Roman Rein jana kwani baada ya kumpiga roman reign ile finishing yake roman reign aliugulia maumivu kwa mda mrefu sana pale chini!!
Yaah..... Roman reigns alikuwa amesha flat sema wakati anaenda kumshika ili refa ahesabu ndo li stromen likatokea ....pumbav sana
 
Kajamaa kagum sana kale...... Unakumbuka kwenye royal ramble aliingia wa pili... Ila akakomaa paka wakabak wanne..... Ndio aliekaa mda mrefu zaid kuliko wote
ila mimi natabiri kuwa Roman Reign atashinda katika mechi yake na Brock Lesnar kwa sababu ni rahisi sana kukwepa finishing ya Brock Lesnar as long as cha kufanya ni kukwepa tu asikubebe na pia Brock Lesnar ni mzito kwa hiyo ni rahisi sana kupokea Spears kadhaa!!
 
Mmm hii mi nahisi inaweza kuwa 50/50 yeyote anawza win maana Lesner naye ni roho ya paka nakumbuka ile mech yake na Broun alivopigwa na meza katolewa kwa ambulance kufika nje aka re gain na kurudi ulingoni na kuchukua mkanda so let wait nd see wrestlemania match
 
Mpambano huu ni lini wadau.hapo natabiri roman atapigwa na Lesnar
 
Hivi Ronda Rosy kusain tena WWE ndo kusema inaweza kuwa mwisho wa matambo ya Asuka????? Ndo kusema Asuka kataftiwa mbabe baada ya kushindikana??
 
Brock Lesnar atapigwa na Roman Reign and no one will believe this!!....Gets these hands amekula spear mbili zikammaliza!!
mechi kubwa kati yao ilikua Wrestlemania 2017, reigns alikula suplex na F5 za kutosha, uwezekano wa reigns kushinda ni mdogo aisee
 
mechi kubwa kati yao ilikua Wrestlemania 2017, reigns alikula suplex na F5 za kutosha, uwezekano wa reigns kushinda ni mdogo aisee
Mmenipinga sana but keep my words!!....Mimi nasema kwa kujiamini kabisa kuwa reign atashinda!!
 
Shabiki wa roman reign... Haha hah hah [emoji12] [emoji12] Ila mshaurini abadili finishing.... Ana mwili mkubwa lakin finishing ya kitoto
Mimi siyo shabiki wa reign ila nimefanya analysis na kuona kuwa atashinda. Mimi nawapenda akina fin ballor,seth rollin,the viper na mzee wa vurugu-baron corbin!!
 
The miz mwisho wake umefika,Fin balor na Seth rollins wanautaka mkanda wa intercontinental!![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Seth rollin bado.... Hafik hata level za AJ style.... Fin ballor namkubali sana yule chalii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…