Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Lesnar hits Rollins with the F5 and covers him. Brock Lesnar defeats Seth Rollins to win the WWE Universal Championship.Mashabiki wa Lesnar mtasema tena jamaa kachukua WWE, kwanini asingeomba pambano kama ni kidume. Kazi ni kuvizia tu, halina akiri kabisa ni kenge la kwenye madimbwi.
Mashabiki wa Lesnar mtasema tena jamaa kachukua WWE, kwanini asingeomba pambano kama ni kidume. Kazi ni kuvizia tu, halina akiri kabisa ni kenge la kwenye madimbwi.
Ukiwa money in the bank una cash in tu... ndo rules za mchezo so lesnar kapata opportunity kaitumia
hii ni bifu sasa mpyaUkiwa money in the bank una cash in tu... ndo rules za mchezo so lesnar kapata opportunity kaitumia
Tunaomba briefing, ilikuwaje?Wazee wa Wrestling Leo Saa Tisa walikuwepo Raw. Kelvin Nash,Rikishi,John Cena n.k n.k
Wazee walikuja Kuinjoy Reunion. Ilikuwa bonge la raha japo hawajapigana ni kuoinjoy tuTunaomba briefing, ilikuwaje?
Ana mimba ko mpaka azaeRonda Rosey kaenda wapi naomba kujua
🤣🤣🤣Ana mimba ko mpaka azae
Katika watu siwapendi Elias.Ladies and gentlemen, Elias..[emoji450][emoji450]