Kwa mtazamo wangu naona pigo la KO ni copy na paste ya pigo la stone cold Steve AustinUmesahau pigo la Kelvin Owens kuchomoka sio rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamo wangu naona pigo la KO ni copy na paste ya pigo la stone cold Steve AustinUmesahau pigo la Kelvin Owens kuchomoka sio rahisi
Sat ipiFree to air tuna enjoy sana ukiwa na ten sport mambo ni mukide
Kaangalie pambano la juzi hapa kati ya lesnar na Sethi , naimani utakuja kufuta comment yako hapaMi Nina swali moja kwa wadau was mcho huu. Eti kutwangana kote kule mbona sijawahi kuona mtu akitoka hata damu pamoja na kutwangana mpaka na viti na gitaa.
Au ndo viewer prescription is not advised!
Brock alimpa kichapo Seth mpaka akatapika damu.seth ajiandae kufa
Kaangalie pambano la juzi hapa kati ya lesnar na Sethi , naimani utakuja kufuta comment yako hapa
Kama shambuliz , kwann lisizuiliwe ?Lile sio pambano.lile ni shambulizi.pambano linachezwa na refa na kanuni zote za upiganaji ziafutwa pale jukwaani.ndo maana sio rahisi kuona wanapasuana.
Mzee wakitok damu utaenda kupigan wew [emoji23]Mi Nina swali moja kwa wadau was mcho huu. Eti kutwangana kote kule mbona sijawahi kuona mtu akitoka hata damu pamoja na kutwangana mpaka na viti na gitaa.
Au ndo viewer prescription is not advised!
Makenitaya = McIntyreHahaha dogo anamuiga drew makenitaya
Punguza mahaba, Randy kazeeka kama hujui, huyo unayemwongelea ni Randy wa zamani sio huyu mzee wa sasa anayepigwa hovyo hovyo hadi na akina Shinsuke NakamuraTriple H katika moja ya mahojiano yake alisema hajawahi kupigana na mtu katili kama Randy Orton.huyu mwamba Wala haitaji ww upende Bali kazi yake itakuvutia na mwenyewe utampa mahaba yote.huyu mnyama ni muuaji,anapiga mpaka mpigwaji anaomba msamaha,anajua kucheza rafu iwe kiti,meza,panga au rungu atatumia,hakupigi ww tu kama umekuja na mshua wako,manzi au wife wote anapiga hajali.huyo koffi mzaliwa wa Ghana,kakulia Jamaica na USA ajiandae kufa na kutupa mkanda wetu kwa RKO zisizozidi 10
Umeanza kuangalia mieleka lini?Mi Nina swali moja kwa wadau was mcho huu. Eti kutwangana kote kule mbona sijawahi kuona mtu akitoka hata damu pamoja na kutwangana mpaka na viti na gitaa.
Au ndo viewer prescription is not advised!