Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Toka mieleka imeanza ni pigo la f5 ndio lilivuruga rekodi ya undertaker.amepigana Mara 21 wrestermania hakuwahi kupigwa.ila Brock Lesnar alimkalisha kwa pigo la f5 na Sasa rasmi anatambulika kama 21-1.huyu Seth rollings ni mtoto mdogo Sana kwa Brock Lesnar Bora angeruka visarakasi vyake na kina Finn balor.brock anapigana mpaka ufc na ameshawahi kuchukua mkanda wa ufc heavyweight,Brock anacheza rugby,anacheza karate,huyu mnyama ni muuajiiiii.huyo Seth atakufa
 
Triple H katika moja ya mahojiano yake alisema hajawahi kupigana na mtu katili kama Randy Orton.huyu mwamba Wala haitaji ww upende Bali kazi yake itakuvutia na mwenyewe utampa mahaba yote.huyu mnyama ni muuaji,anapiga mpaka mpigwaji anaomba msamaha,anajua kucheza rafu iwe kiti,meza,panga au rungu atatumia,hakupigi ww tu kama umekuja na mshua wako,manzi au wife wote anapiga hajali.huyo koffi mzaliwa wa Ghana,kakulia Jamaica na USA ajiandae kufa na kutupa mkanda wetu kwa RKO zisizozidi 10
 
This is the hausi that ei jei stailiz built...huyu mwamba simweki kwenye kundi la wanyama maana yeye ni mpole Sana ila mpambanaj/huwezi kumkalisha kihasara hasara.huyu ricosheti anabebwa Sana na familia ya Vince ila uwezo mdogo.AJ atampiga mapema sana
 
Samoe Joe huyu ni mnyama nimemfatilia tokea anapigana impact(kwa wapenzi wa mieleka impact ndio Kuna mieleka,kule Kuna finishing ambazo sijawahi kuona.kina RVD na Bob Lasley walichemka).huyu mwamba nachompendea mpaka kumuita mnyama ni Hana huruma ni katili kwelikweli.anajua rafu zote.pigo lake la kokina clanchiiii lazima uarishe.nikimuona anaingia huwa nasema piga huyo mbuzi.nadhani ananisikia
 
Kwa sisi wanasayansi au mai njinia.SI Unit ya rafu na ugomvi anastahili kupewa Randy Orton
 
Kwa upande wa wanawake simpendi the man maana anajitutumua Sana ila uwezo mdogo Mara Mia huo mkanda angekua nao asuka,the Queen au Amber Moon.ila kwa wanyama au wauaji,makatili nayoyapenda mno Tena sanaaaaaa ni riott squad wakiongozwa na Mkuu wa Majeshi Rubby na Sarah
 
Smackdown Kuna mchezaj rafu(sio mnyama)anaitwa God greatest Creation.namkubali sana.mrembi,mzuri na anajua rafu
 
Mi Nina swali moja kwa wadau was mcho huu. Eti kutwangana kote kule mbona sijawahi kuona mtu akitoka hata damu pamoja na kutwangana mpaka na viti na gitaa.
Au ndo viewer prescription is not advised!
 
Nimetokea Sana kumpenda Elias sababu ya uhodari wake kwa kucheza na kipaza sauti(mic/maiki).anajua kujisifia na kushirikisha wana jukwaa wanao mtazama.ila mpaka Sasa wanamieleka wote dunia nzima hajawahi kutokea bingwa wa kipaza sauti au kuongea utumbo kama the rock Dwayne Johnson
 
Lile sio pambano.lile ni shambulizi.pambano linachezwa na refa na kanuni zote za upiganaji ziafutwa pale jukwaani.ndo maana sio rahisi kuona wanapasuana.
Kaangalie pambano la juzi hapa kati ya lesnar na Sethi , naimani utakuja kufuta comment yako hapa
 
Mi Nina swali moja kwa wadau was mcho huu. Eti kutwangana kote kule mbona sijawahi kuona mtu akitoka hata damu pamoja na kutwangana mpaka na viti na gitaa.
Au ndo viewer prescription is not advised!
Mzee wakitok damu utaenda kupigan wew [emoji23]
mkuu mbon kitu kikowaz ata kweny kaz unayojishughulisha wew
 
Triple H katika moja ya mahojiano yake alisema hajawahi kupigana na mtu katili kama Randy Orton.huyu mwamba Wala haitaji ww upende Bali kazi yake itakuvutia na mwenyewe utampa mahaba yote.huyu mnyama ni muuaji,anapiga mpaka mpigwaji anaomba msamaha,anajua kucheza rafu iwe kiti,meza,panga au rungu atatumia,hakupigi ww tu kama umekuja na mshua wako,manzi au wife wote anapiga hajali.huyo koffi mzaliwa wa Ghana,kakulia Jamaica na USA ajiandae kufa na kutupa mkanda wetu kwa RKO zisizozidi 10
Punguza mahaba, Randy kazeeka kama hujui, huyo unayemwongelea ni Randy wa zamani sio huyu mzee wa sasa anayepigwa hovyo hovyo hadi na akina Shinsuke Nakamura
 
Mi Nina swali moja kwa wadau was mcho huu. Eti kutwangana kote kule mbona sijawahi kuona mtu akitoka hata damu pamoja na kutwangana mpaka na viti na gitaa.
Au ndo viewer prescription is not advised!
Umeanza kuangalia mieleka lini?
 
Brock Lesnar Jana katoa kichapo kwa Seth rollings Cha kufamtu kwenye Monday night raw..huyu Seth atakufa
 
Back
Top Bottom