Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mashabiki wa Lesnar mtasema tena jamaa kachukua WWE, kwanini asingeomba pambano kama ni kidume. Kazi ni kuvizia tu, halina akiri kabisa ni kenge la kwenye madimbwi.
Lesnar hits Rollins with the F5 and covers him. Brock Lesnar defeats Seth Rollins to win the WWE Universal Championship.
 
Ukiwa money in the bank una cash in tu... ndo rules za mchezo so lesnar kapata opportunity kaitumia
Mashabiki wa Lesnar mtasema tena jamaa kachukua WWE, kwanini asingeomba pambano kama ni kidume. Kazi ni kuvizia tu, halina akiri kabisa ni kenge la kwenye madimbwi.
 
[emoji6][emoji6][emoji6]
20190717_174514.gif
 
Amkeni Monday night raw Reunion inaendelea Tamu kinyama Ila Maktairi ndo ameharibu mudi
 
Wazee wa Wrestling Leo Saa Tisa walikuwepo Raw. Kelvin Nash,Rikishi,John Cena n.k n.k
 
Hakuna mtu simpemdi kaka Block LESNAR jana limefanya mbaya Seth Rollins, nalisubiri kwenye Summer slam 11 Augost litakavyopigwa kama lilivyofanywa kwenye wresting Armenia
 
Back
Top Bottom