Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
My client burrroooooock lesnarHakuna mtu simpemdi kaka Block LESNAR jana limefanya mbaya Seth Rollins, nalisubiri kwenye Summer slam 11 Augost litakavyopigwa kama lilivyofanywa kwenye wresting Armenia
😁😂 likafie mbele.M
My client burrroooooock lesnar
Sasa rasmi wwe itakua inaonyeshwa DStv channel namba 128 mpaka 31disemba
Hahahaha Seth rollings alitapika damuM
My client burrroooooock lesnar
Brock alimpa kichapo Seth mpaka akatapika damu.seth ajiandae kufaBrock lesner ajiandae kisaikolojia...revenge itayomjia....
Hahaha dogo anamuiga drew makenitaya[emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 1171425
Siku zote MkuuSiku gani?
Elias anajua Sana kucheza na maikiKa
Katika watu siwapendi Elias.
Umesahau pigo la Kelvin Owens kuchomoka sio rahisiF5 ni moja la mapigo matata Sana mpaka uchomoe ni utakua na roho ya paka.mapigo mengine ya kufa mtu ni end of days,kokina klach(Samoa Joe) na rko.huyu koffi atupe mkanda wetu
Hapa tegemea maajabu Ricochet sio wa mchezoThis is the hausi that ei jei styleZ Built....rikoshet akalime mihogo kwao mbinga