Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

[emoji123][emoji123][emoji123]
20190803_174124.gif
 
F5 ni moja la mapigo matata Sana mpaka uchomoe ni utakua na roho ya paka.mapigo mengine ya kufa mtu ni end of days,kokina klach(Samoa Joe) na rko.huyu koffi atupe mkanda wetu
 
Brock Lesna(muuaji namba moja),Randy Orton,Samoa Joe na wauwaji wote wasiopenda kuremba nawapenda sana.piga mbuzi mpaka ajisikie kufa.
 
Koffi hawezi kushinda.randy Orton atamuua huyu mgogo koffi
 
This is the hausi that ei jei styleZ Built....rikoshet akalime mihogo kwao mbinga
 
F5 ni moja la mapigo matata Sana mpaka uchomoe ni utakua na roho ya paka.mapigo mengine ya kufa mtu ni end of days,kokina klach(Samoa Joe) na rko.huyu koffi atupe mkanda wetu
Umesahau pigo la Kelvin Owens kuchomoka sio rahisi
 
Back
Top Bottom