Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
-
- #401
Ila lile lijamaa....[emoji3] [emoji3] wewe jamaa
Ile vita triple na mkewe waliiandaa, ili wapige ela coz Ronda alshawah kuvimbishiana nao wrestlemania ilopita alpopandishwa na the rock uwanjan...WWE kuna vituko..... Sasa pale Cute angel na Trip H walikuwa wanafanyaje .....bila kujali wao ni mameneja....
Kumbe... Sasa mbona Cut angle na ronda wapo pamoja km Issue ronda nae alihisika kupanga na kina triple HIle vita triple na mkewe waliiandaa, ili wapige ela coz Ronda alshawah kuvimbishiana nao wrestlemania ilopita alpopandishwa na the rock uwanjan...
Xo wameona waitumie kudraw attention ya mashabiki dats y wamemkorofisha kat angle
No Ronda hakuhusika,,but Ronda alishawah kuwa na vita nao huko nyuma xo walivonsajili hii juz Ronda alkua haivi nao sana dats y yupo karib na Kurt angle.Kumbe... Sasa mbona Cut angle na ronda wapo pamoja km Issue ronda nae alihisika kupanga na kina triple H
Yeah hivyo mechi naikumbuka alimminya hadi akawa Kama anabembea juuIla lile lijamaa....
Linakuminya kichwa paka una flot etii..... Kuna siku Ray mysterio aliminywa paka akazimia.... Ile finishing wachache sana waliipangua akiwemo cena
HajuiYeah hivyo mechi naikumbuka alimminya hadi akawa Kama anabembea juu
Akishinda sasa linainua mikono juu
hiv The Great Khali alikua anajua kingereza kweli
Haongei lugha yoyote yuleYeah hivyo mechi naikumbuka alimminya hadi akawa Kama anabembea juu
Akishinda sasa linainua mikono juu
hiv The Great Khali alikua anajua kingereza kweli
Hapana, Anaongea kihindi na kiingerezaHaongei lugha yoyote yule
Kwahiyo ana undugu na jinder mahalHapana, Anaongea kihindi na kiingereza
Hapana ila wakati anaingia WWE alikuwa yeye, Jinder Mahal pamoja na mwingine na ilibid wawe Crew but the great Khali alikataa akawa yupo kivyake, that why Jinder ilimchukua muda kidogo kutoboa WWEKwahiyo ana undugu na jinder mahal
Roman wa saiz kaishajamani ila mi nakubali sana Roman kwa kitu kimoja ni mvumilivu sana hapigiki kilahis, mtakubaliana na mimi mlioangalia ile mechi ya Brock na Roman mwaka juz km cjakosea, kama si Setth kuhalibu ile mech lazma Roman angechukua mkanda.
Boby rooby saiz zake ni kina fin balor, AJ style, Kevin Owens, Semi zen na wengine... Ila mtu km Randy, john cena hao level kubwa kwakeSina furahaa kwani rafiki yangu mzee wa glorious amekula RKO moja akaachia mkanda wa American championship![emoji58][emoji58][emoji58]
ila hata hivyo nimefurahi Randy kuchukua huo mkanda kwa sababu lilikuwa livivu sana kupigana,sasa hivi litakuwa linapiga karibia kila wiki kwa kuwa akina modern day maharaja na wengineo wanautaka huo mkanda!Boby rooby saiz zake ni kina fin balor, AJ style, Kevin Owens, Semi zen na wengine... Ila mtu km Randy, john cena hao level kubwa kwake
Huyo maharaja ndo asahau kabisa....ila hata hivyo nimefurahi Randy kuchukua huo mkanda kwa sababu lilikuwa livivu sana kupigana,sasa hivi litakuwa linapiga kila wiki kwa kuwa akina modern day maharaja na wengineo wanautaka huo mkanda!
Atauchukua huo mkanda kupitia fitna!....atakuwa anawatumia vile vijamaa vyake kumdistract the viper!Huyo maharaja ndo asahau kabisa....