Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

WWE kuna vituko..... Sasa pale Cute angel na Trip H walikuwa wanafanyaje .....bila kujali wao ni mameneja....
Ile vita triple na mkewe waliiandaa, ili wapige ela coz Ronda alshawah kuvimbishiana nao wrestlemania ilopita alpopandishwa na the rock uwanjan...

Xo wameona waitumie kudraw attention ya mashabiki dats y wamemkorofisha kat angle
 
Kumbe... Sasa mbona Cut angle na ronda wapo pamoja km Issue ronda nae alihisika kupanga na kina triple H
 
Kumbe... Sasa mbona Cut angle na ronda wapo pamoja km Issue ronda nae alihisika kupanga na kina triple H
No Ronda hakuhusika,,but Ronda alishawah kuwa na vita nao huko nyuma xo walivonsajili hii juz Ronda alkua haivi nao sana dats y yupo karib na Kurt angle.

Xo triple na mkewe wakatumia huo ukarb wa Ronda na Kurt plus bif yao ya huko nyuma kutengeneza match, xo ikabid watafte njia ya kumkorofisha kart pia uwanjan
 
Ila lile lijamaa....
Linakuminya kichwa paka una flot etii..... Kuna siku Ray mysterio aliminywa paka akazimia.... Ile finishing wachache sana waliipangua akiwemo cena
Yeah hivyo mechi naikumbuka alimminya hadi akawa Kama anabembea juu
Akishinda sasa linainua mikono juu
hiv The Great Khali alikua anajua kingereza kweli
 
Kwahiyo ana undugu na jinder mahal
Hapana ila wakati anaingia WWE alikuwa yeye, Jinder Mahal pamoja na mwingine na ilibid wawe Crew but the great Khali alikataa akawa yupo kivyake, that why Jinder ilimchukua muda kidogo kutoboa WWE
 
jamani ila mi nakubali sana Roman kwa kitu kimoja ni mvumilivu sana hapigiki kilahis, mtakubaliana na mimi mlioangalia ile mechi ya Brock na Roman mwaka juz km cjakosea, kama si Setth kuhalibu ile mech lazma Roman angechukua mkanda.
 
Roman wa saiz kaisha
 
Roman Reigns akimpiga Brock Lesnar next week nastafu kuangalia wrestling
 
Sina furahaa kwani rafiki yangu mzee wa glorious amekula RKO moja akaachia mkanda wa American championship![emoji58][emoji58][emoji58]
 
Sina furahaa kwani rafiki yangu mzee wa glorious amekula RKO moja akaachia mkanda wa American championship![emoji58][emoji58][emoji58]
Boby rooby saiz zake ni kina fin balor, AJ style, Kevin Owens, Semi zen na wengine... Ila mtu km Randy, john cena hao level kubwa kwake
 
Boby rooby saiz zake ni kina fin balor, AJ style, Kevin Owens, Semi zen na wengine... Ila mtu km Randy, john cena hao level kubwa kwake
ila hata hivyo nimefurahi Randy kuchukua huo mkanda kwa sababu lilikuwa livivu sana kupigana,sasa hivi litakuwa linapiga karibia kila wiki kwa kuwa akina modern day maharaja na wengineo wanautaka huo mkanda!
 
Back
Top Bottom