Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
- #401
Ila lile lijamaa....[emoji3] [emoji3] wewe jamaa
Linakuminya kichwa paka una flot etii..... Kuna siku Ray mysterio aliminywa paka akazimia.... Ile finishing wachache sana waliipangua akiwemo cena