Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hivi Goldberg yupo wapi alinipigiaga Brock lesnar Survivor series kwa dakika tu alichezea spear 2 akamaliza kazi
 
Alirudi tena pambano lake la kwanza alipangiwa na Brock Survivor series
Alirudi tu 1 time cos wwe ilikosa mpnzan wa lesnar, yaan ni km itakavyokuwa undertaker kuonekan kwny mania 34.
 
Wadau kesho sangap kwa masaa yetu ya afrika mashariki?Chanel zipi zinaonyesha?
 
Wadau kesho sangap kwa masaa yetu ya afrika mashariki?Chanel zipi zinaonyesha?
Wrestlemania kwa saa za huku kwetu(Afrika Mashariki) itakuwa live leo(jumapili) kuanzia saa sita ya usiku hadi saa tatu asubuhi kesho kupitia supersport 8![emoji116]......Marudio yatakuwa supersport 9 kesho jumatatu(09/04/2018) kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa sita ya usiku
 
Alexa atashinda kwa kusaidiwa na yule shosti yake...but Nia Jax atawavuruga na yule mwenye brifcase kimodo atakuja kucash in atakuwa bingwa.
Big Dog atashinda sababu lesnar anataka kurudi UfC na adhabu yake ya UFC imeshaisha alifungiwa kwa muda kwa matumizi ya dawa zisizoruhusiwa. Anapenda UFC kuliko mieleka na ndio maana yeye anapigana PPV. Ushawahi muona akipigana match kwenye Monday night raw kama wengine.
So Big Dog atashinda then Fin balor rollins wataunyemelea mkanda wake
 
Rafiki umechanganya madesa,royal rumble ilishafanyika siku za nyuma huko!
Aiseeee napenda sana mieleka sema muda nakosa wa kuangalia ila mm nampenda Finn Balor balaaaa


Kuna lile group la Black Amerika sijui wanaitwaje nampenda yule Bonge kuacha Aj style wenyewe siwapendi .
 
Aiseee nasikia kuna Royal Rumble sjui ndo ilikuwa jana au nimechanganya madesaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]umenifurahisha sana....ila swali zuri Ngoja nikujibu..
Royal ramble imepita majuz tu Hapa... Mshindi kwa upande wa wanaume alikuwa Mkali mwenyewe Nakamura... Na upande wa kina dada alikuwa The impress of tomorrow ASUKA..... Sasa hivi tupo kwenye msimu wa WRESTLEMANIA..... Ambayo itafanyika Leo, muda na channel ipi pitia comment Ya Behaviorist Hapo juu..... Karibu Sana kwenye ulingo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…