Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
-
- #701
katokea wapi mbona janja janja nyingiWomen battle royal, the winner is Naomi
live hyo sio fairNaomi kategeea weee paka Baily kamtoa Sasha.... Baily kajua kushinda ndo Naomi anajitokeza.... Hii si fair, hiz sheria zinabid zibadilishe iwe ukikaa nje zaid ya dk tano unakuwa eliminated automatically
Tupo pamojaNipo live hapa
It's absolutely incredible.... Miz atashinda... Niamini mmSasa ni Intercontinental champion naona seth anaingia na manjonjo kibao.... thou najua Finn balor anauchukua huu mkanda usiku wa leo
Seth kachukua mechi ilikuwa kali snaaIt's absolutely incredible.... Miz atashinda... Niamini mm
Huko siku za mbeleni ndiyo pakali zaidi kwa sababu mechi za kumnyanganya huu mkanda zitakuwa kali sana!!Seth kachukua intercontinental hii mechi ilikuwa kali sana
Leo fin balor kaniangusha sana lakni mkuuHuko siku za mbeleni ndiyo pakali zaidi kwa sababu mechi za kumnyanganya huu mkanda zitakuwa kali sana!!
Kajitahidi sana lakini, hata hivyo si umeona alikuwa eshamgonga the Miz finishing!!Leo fin balor kaniangusha sana lakni mkuu
Ndio lakni leo hata the miz upepo ulimuishia mapema sana....Kajitahidi sana lakini, hata hivyo si umeona alikuwa eshamgonga the Miz finishing!!