Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Naomi kategeea weee paka Baily kamtoa Sasha.... Baily kajua kushinda ndo Naomi anajitokeza.... Hii si fair, hiz sheria zinabid zibadilishe iwe ukikaa nje zaid ya dk tano unakuwa eliminated automatically
 
live hyo sio fair
 
Nakula kitu live na s8HD
IMAG0191.jpg
IMAG0190.jpg
IMAG0189.jpg
 
Kwenye cruise weight dogo cedric alexander amenifurahisha sana.....

Usipo kuwa makini pale unaweza acha shingo
 
Sasa ni Intercontinental champion naona seth anaingia na manjonjo kibao.... thou najua Finn balor anauchukua huu mkanda usiku wa leo
 
The Miz ni jinga sana,Seth rollins anagonga chini ili the Miz aamke amgonge finishing na kweli the Miz jinga linaamka!!
 
Kajitahidi sana lakini, hata hivyo si umeona alikuwa eshamgonga the Miz finishing!!
Ndio lakni leo hata the miz upepo ulimuishia mapema sana....

Kura yako kwa nani mkuu kati ya Charliote flair na Asuka....

Thou asuka ana mvuto kwelikweli....[emoji2] [emoji2]
 
Charlorite kashinda lakni moyoni kakubali asuka ni mkali....

Maana hadi kalia haamini ametetea ubingwa wake...
 
Back
Top Bottom