Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Chanzo cha Asuka kupigwa ni ile spear kutoka kwa charlotte flair kwani ilimmaliza nguvu asuku ndiyo maana akapelekwa kwenye finishing kirahisi!..hata hivyo Asuka ndiye alinza kudeliver finishing ila zimefail zote!....Charlotte flair ni lirefu kama baba yake ndiye maana finishing ya Asuka imefail!
 
United state champion hapa pagumu sana.... Maana wote watata

Ngoja tusubilie hii burudani....
 
Jamani ikianza match mpya tuambiane wngn tunatumia mobdro matangazo ni meng so tunapumzika kiaina kuokoa bando.
 
Mzee baba Umeanza kufeli..... ASUKA kashachezea..... Hapa naaza kumwamini mkuu aliesema Duniani Kuna watu wanajua kuongea.....
 
New United States champion .....Maharrrrrrrrrrrraja.... Jinder Mahal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…