Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Chanzo cha Asuka kupigwa ni ile spear kutoka kwa charlotte flair kwani ilimmaliza nguvu asuku ndiyo maana akapelekwa kwenye finishing kirahisi!..hata hivyo Asuka ndiye alinza kudeliver finishing ila zimefail zote!....Charlotte flair ni lirefu kama baba yake ndiye maana finishing ya Asuka imefail!
 
United state champion hapa pagumu sana.... Maana wote watata

Ngoja tusubilie hii burudani....
 
Jamani ikianza match mpya tuambiane wngn tunatumia mobdro matangazo ni meng so tunapumzika kiaina kuokoa bando.
 
Sio kujua. Ila kutokana na trend za matukio ndio hata wewe unaweza kuotea nini kitatokea.
AJ atapigwa na Nakamura sababu kubwa ni kibiashara zaidi kama ambavyo walimpa mkanda MARAHAJA WAKIHINDO yule sababu wana fan base kubwa sana na india ina watu wengi na walivyomaliza safari za india wakampokonya mkanda. So now ni time ya Japan nako kuna watu wengi so interm of business itakuwa juu sana.
So.posibbility ya Asuka na Nakamura kushinda ni 95% kwa sababu niliyoainisha hapo juu.
Kwa lesnar na Big dog...sababu kubwa ambayo itamfanya lesnar ashindwe ni yeye kurudi UFC na kuwa Big Dog ni kipenzi mkubwa wa McMan mmiliki wa WWE.....so big dog ni 95% pia.
ALEXA ....ni 96% kushinda sababu yeye ana kipaji cha kuongea ( hii nayo ni sifa kubwa kuwepo wwe kama alivyokuwa ENZO) but kuna posibility ya kimodo kucash in kibrifcase kwa asuka vs qeen au kwa alexa vs nia jax maana wengi wana cash in kwa wreslemania)
Mzee baba Umeanza kufeli..... ASUKA kashachezea..... Hapa naaza kumwamini mkuu aliesema Duniani Kuna watu wanajua kuongea.....
 
New United States champion .....Maharrrrrrrrrrrraja.... Jinder Mahal
 
Back
Top Bottom