Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Kitendo cha Roman reign kusurvive series nyingi vile za suplex city amesend message kwa opponent wake wote wa WWE kuwa wajipange hakuna wa kumzuia tena Lesner atakapoenda UFC!
 
Sina mengi ya kusema ila asante Brock lesnar
 
Wale wauaji wamechukua mkanda ila USO nawasifu sana kwani wamejitahidi kidogo kuwapa kichapo compare to new day!.....USO na new day wasahau mkanda wa tag team kwa sababu haya mashetani hayatauachia ng'oo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe ulivyoahidi kwa dhati na kutoka moyoni kwa uma wa watanzania kuwa Asuka na Nakamura watashinda huo mzigo unampa nani mkuu???
Haah mzee..... Sijasema Mimi kuwa ASUKA na Nakamura watashinda.... Mi nlikuwa najiamini na Brock Lesnar tu.... Nipe mzigo wangu bana
 
Ngoja nisubiri marudio na mimi nipate uhondo
 
Haya kwa wapenz wa ASUKA.... Kwa mara ya kwanza kachezea kichapo
Hahhaha...Noma sana,
Hadi Nakamura kapigwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] .Jana ilikuwa noma sana.


Afu unamkumbuka yule jamaa jana[emoji23] [emoji119] , na Hadithi zake za kutunga maneno kibao[emoji23].

Umeamini mkuu watu Duniani walivyo[emoji23]
 
[emoji23] [emoji119] ...Mzee, wewe una kipaji cha utunzi.

Shikilia[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…